Mshahara wa polisi graduate anaeanza kazi mwisho wa mwezi unalipwa tsh. 280,000 na katikati ya mwezi ni tsh. 150,000..
Habari Wadau. Nmeona kazi za IT pale Attorney General Office mshahara ni TGS D. Je hio ni sh ngapi kwa mwenye degree ya IT ?
Msaada wa kujua!, mtumishi wa kada ya mtendaji wa kata mwenye level ya diploma anastahili kuwa na cheo gani na ngazi ipi ya mshahara?.
jaman tunaomba msaada kwa wenye uelewa ngazi na kiasi cha mshahara cha cilinical officers ngazi ya diploma,plz
sisi tunaishi tu..tena tunamiliki magari foleni haziishi, weekend tunaweka heshima bar na makumbi ya starehe ndo mana biashara ya ufuska inakua kwa kasi...hakuna anayelala na njaa ila wapo wanaochelewa kula na wenye milo michache ......ukitaka kujua tunaishije, karibia......Tanzania zaidi ya uijuavyomishahara ya gavamenti ni midogo hivi?
sasa ukiwa dar utaishije?
mkuu hebu jaribu ku specify ni TGS D & E ipi?
maana kuna TGS D(1-12) sasa wewe cjui unataka ipi?
ila kwa kuna uzi unao elezea hiyo kitu jaribu kuutafuta.
hiviii wanavyosema TGS D1, 2, 3, 4,5n.k wanamaanisha nini hizo series 1.... na kuendelea zina maana gani..ndugu yangu amepata kazi serekalini kaanbiwa mshahara ni TGS C nataka kumshauri aende huko atoke private..sasa hiyo C nayo naona ina mishahara tofauttofaut nashindwa kumuelekeza msaada tafadhali
Mzhokomi
Wakuu vipi kuhusu wajenzi(civil engineers) ngazi ya degree na diploma wanalipwaje?
Wizarani na halmshauri ni tgs e kwa ngazi ya degree
Ndo kiasi gani? samahani