Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Habari Wadau. Nmeona kazi za IT pale Attorney General Office mshahara ni TGS D. Je hio ni sh ngapi kwa mwenye degree ya IT ?
 
Habari Wadau. Nmeona kazi za IT pale Attorney General Office mshahara ni TGS D. Je hio ni sh ngapi kwa mwenye degree ya IT ?

ukiangalia hapo juu watumishi wa mwanasheria mkuu wanatumia viwango vyao vya mishahara tofauti na TGS, ambavyo ni AGCS, sasa nashangaa ikaweje Tangazo likaweka msharaha ktk TGS wakati
 
Msaada wa kujua!, mtumishi wa kada ya mtendaji wa kata mwenye level ya diploma anastahili kuwa na cheo gani na ngazi ipi ya mshahara?.
 
Msaada wa kujua!, mtumishi wa kada ya mtendaji wa kata mwenye level ya diploma anastahili kuwa na cheo gani na ngazi ipi ya mshahara?.

anaitwa WEO. iii. ....means Weo daraja la 3. mwenye degree ni daraja la pili
 
jaman tunaomba msaada kwa wenye uelewa ngazi na kiasi cha mshahara cha cilinical officers ngazi ya diploma,plz
 
jaman tunaomba msaada kwa wenye uelewa ngazi na kiasi cha mshahara cha cilinical officers ngazi ya diploma,plz

Hata mimi nahitaji kufahamu pia.
Naomba mnisaidie kufahamu na viwango vipya vya Call allowance pia kwa CO kama kuna mjuzi wa hili.
 
Amakweli kwa sisi watoto wa wakulima na hii mishahara ya serikali nyumba nzuri na verosa ni jitihada binafsi
 
mishahara ya gavamenti ni midogo hivi?
sasa ukiwa dar utaishije?
sisi tunaishi tu..tena tunamiliki magari foleni haziishi, weekend tunaweka heshima bar na makumbi ya starehe ndo mana biashara ya ufuska inakua kwa kasi...hakuna anayelala na njaa ila wapo wanaochelewa kula na wenye milo michache ......ukitaka kujua tunaishije, karibia......Tanzania zaidi ya uijuavyo
 
ila wananchi mafukunyunyu...hivi taarifa nyeti kama hizi huwa mnatoa wapi?? hahahaha hii si confidential info, how come iko hapa...duh mmetisha sana
 
hiviii wanavyosema TGS D1, 2, 3, 4,5n.k wanamaanisha nini hizo series 1.... na kuendelea zina maana gani..ndugu yangu amepata kazi serekalini kaanbiwa mshahara ni TGS D nataka kumshauri aende huko atoke private..sasa hiyo C nayo naona ina mishahara tofauttofaut nashindwa kumuelekeza msaada tafadhali
 
mkuu hebu jaribu ku specify ni TGS D & E ipi?
maana kuna TGS D(1-12) sasa wewe cjui unataka ipi?
ila kwa kuna uzi unao elezea hiyo kitu jaribu kuutafuta.

hiviii wanavyosema TGS D1, 2, 3, 4,5n.k wanamaanisha nini hizo series 1.... na kuendelea zina maana gani..ndugu yangu amepata kazi serekalini kaanbiwa mshahara ni TGS C nataka kumshauri aende huko atoke private..sasa hiyo C nayo naona ina mishahara tofauttofaut nashindwa kumuelekeza msaada tafadhali
Mzhokomi
 
Last edited by a moderator:
Ngazi za
mshahara kwa waraka mpya 2014/2015.(afya)
tghs a.1 385,000, tghs b.1 610,000.00, tghs
c.1 885,000, tghs d.1 1,100,000, tghs e.1
1,320,000, tghs f.1 1,640,000.00. Tghs g.2
2,113,000, tghos a.1 261,000, tghos b.1
380,000, tghos c.1 526,000.
 
Wakuu vipi kuhusu wajenzi(civil engineers) ngazi ya degree na diploma wanalipwaje?
 
hiviii wanavyosema TGS D1, 2, 3, 4,5n.k wanamaanisha nini hizo series 1.... na kuendelea zina maana gani..ndugu yangu amepata kazi serekalini kaanbiwa mshahara ni TGS C nataka kumshauri aende huko atoke private..sasa hiyo C nayo naona ina mishahara tofauttofaut nashindwa kumuelekeza msaada tafadhali
Mzhokomi

Ukianza kazi unaanza na scale 1, unavyozidi kukaa miaka mingi inapanda kwenda 2, 3, etc
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom