Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Habari Wakuu naomba Msaada kuhusu kiwango cha mshahara kwa ngazi ya PGSS 6
 
Kwa muda mrefu sasa ninaona watu nikiwemo mimi tukitaka kujua juu ya viwango hivi vya mishahara.

Sasa ukimya wetu sijui ni JF hakuna wanaolipwa viwango hivyo, au PGSS ni suala ambalo lina usiri mkubwa sana?

Hebu mwenye taarifa hizi aondoe utata huu...
 
Salary scary ya PGSS mara nyingi huwa ina panda kwa kiwango kidogo sana pindi nyongeza ya mshahara inapotekea. Wenye uelewa zaidi mtufahamishe
 
Mkuu Cargo, mimi nataka kujua PGSS 6. Ila si mbaya kama ukiweka zote zilizo kwenye PGSS.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom