Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Habari zenu wadau naombeni kujuzwa kama kuna mtu anayefahamu mishahara na ngazi za mishahara ya TCU tafadhali. Pia kama wana allowances.

Natanguliza shukrani zangu za dhati!
 
Nauliza Afisa maendeleo ya jamii many diploma anaanza na salary scale IPI kwa halmashaur
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

[/LEFT]
[/CENTER]

mishara ya wafanyakaz wa tcra kwa mwez kwa mtu ambaye ana dgree ya i.t
 
Jf ni mahala pekee ambapo mtu aweza kupata majibu ya maswali yake.
Ila
Hapa maswali mbona hayajibiwi jaman.?
 
Naomba kujua kuhusu Phts?? Viwango vipoje mathalani phts 2
 
PGSS 6 Inaanzia 537000 hii ni kwa mashirika ya umma na hupanda kwa sh. 8000 kwa mwaka. Na hiki ni kiwango mwa mtu kuanzia diploma.
 
Inaonesha wote hamna viwango vipya taraji mnatumia scale ya jully 2014,basi subilini jully 2015 acheni porojo bana
 
hii mishahara imezidi bna unalipia ada kubwa unalipwa kidogo tutafika kweli????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…