Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,711
Damn mfanyakaz wangu wa ndani ndio ela ninayomlipa kwa siku hiyo
habari wanajamii
ningependa kuuliza mshahara anaopata mwalimu wa shule ya msingi pindi anapoanza kazi kila mwezi anapokea sh ngp
N:B:sijauliza kwa ubaya wapendwa mwenye kufahamu atuambie tafadhali
Acha kudanganya watu, unajua kima cha chini cha mshahara cha serikali....???, nenda kaulize ndo uje na data kamili hapa sio kubwabwaja hapa.....
Damn mfanyakaz wangu wa ndani ndio ela ninayomlipa kwa siku hiyo
Watu wengi humu ukiuliza mishahara ya kada zao huwa hawataki kusema kwa kuhofia kauli kama hizi.
Mkuu unalipa mshahara mzuri sana kwa kweli, kama huyo ni mfanyakazi wa ndani tu itakuaje kwa mshauri wako wa mambo ya uchumi. Ningeomba kazi kwako sema mimi nalipwa hiyo kwa saa moja hahaahaha!
Bado viwango vipya havijatolewa
ahsanta.
PGSS 6 Inaanzia 537000 hii ni kwa mashirika ya umma na hupanda kwa sh. 8000 kwa mwaka. Na hiki ni kiwango mwa mtu kuanzia diploma.
Mimi serikalini sitoki
Huku kutamu sana maana napata muda wa kufanya na kusimimamia miradi yng bila kuwa na stress while kimshahara changu cha mbuzi nakikuja safi
Ofisini yenu mnapiga sana hela za pembeni...!
TGTS D1 ambayo kabla ya makato ni sh 450,000.00
makato yake kuna PSPF
Bima ya Afya
Chama cha walimu
Tax Pay as you Earn
mengine yatakuja ya mikopo kama utakopa
nadhani take home inaweza kua 320,000.00