Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Kuna kazi hapa wametangaza hiyo PGSS ni sh ngapi kile kiwango cha kabla ya makato/baada,msaada tfdhl.
 
Hili swali la PGSS kiwango chake naona limekuwa gumu sana cyo kwangu hta kwa wengine
 
New Government Salary Scales;Teacher TGTS B1 = 419,000/- TGTS C1 = 530,000/- TGTS D1 = 716,000/- TGTS E1 = 940,000/- TGTS F1 = 1,235,000/- TGTS G1 = 1,600,000/- TGTS H1 = 2,091,000/- TGTS I = 2,810,000/- Approved.
 
new government salary scales;teacher tgts b1 = 419,000/- tgts c1 = 530,000/- tgts d1 = 716,000/- tgts e1 = 940,000/- tgts f1 = 1,235,000/- tgts g1 = 1,600,000/- tgts h1 = 2,091,000/- tgts i = 2,810,000/- approved.
:d:d:d:d:d:d
 
New Government Salary Scales;Teacher TGTS B1 = 419,000/- TGTS C1 = 530,000/- TGTS D1 = 716,000/- TGTS E1 = 940,000/- TGTS F1 = 1,235,000/- TGTS G1 = 1,600,000/- TGTS H1 = 2,091,000/- TGTS I = 2,810,000/- Approved.

Viwango vipya hawajatoa,Ww Umezitoa wapi? acha uongo wa mchana
 
Viwango vipya hawajatoa,Ww Umezitoa wapi? acha uongo wa mchana

Wewe,ndo hujaona au mvivu kufuatilia,taarifa hata payraw ya july itakuwa hata hujui kama iko tayari kaz kwel kuwa na watu walio passive
 
mkuu swali lako halijakamilika
PGSS ni ngazi za mishahara zinzotumiwa na taasisi za serikali
sasa sijui unataka pgss ngapi
 
Viwango hivi ni mshahara shilingi ngapi?

1. PUSS 1, PUSS 2, PUSS3 , PUSS4, PUSS1/2

2. PUTS1, PUTS2, PUTS3

3. PGSS10, PGSS 11, PGSS12, PGSS13, PGSS14

nb. modes msiunganishe huu uzi na uzi ule wmingine wa mishahara kwani ule uzi hauna viwango vyote.
 
Naomba mnihakikishie VIWANGO VIPYA VYA
MISHAHARA KUANZIA JULAI 2015 kwa anae jua tafadhari
 
Belo unamaanisha hizi au?
New Government Salary Scales;Teacher

TGTS B1=419,000/-
TGTS C1=530,000/-
TGTS D1=716,000/-
TGTS E1=940,000/-
TGTS F1=1,235,000/-
TGTSG1=1,600,000/-
TGTS H1=2,091,000/-
TGTS I=2,810,000/- Approved.
 
Last edited by a moderator:
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:
 

Umeongea ukweli mtupu hii serikalli ni uchuro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…