Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

nadhani kuna umuhimu wa ku-revise rates!...........

TGS D kwa mwaka 2014/2015 ni 625,000 basic... na take home ni 507,000
TGS D Kwa mwaka 2015/2016 ni 706, 000 take home ni 568,000

yani hadi kufika 1 m ni miaka nenda rudi na gharama za maisha zinapanda mithili ya fastjet
 
Pia mimi ningependa sana kujua hizo level, but mpk leo natafuta but sijafanikiwa kuzipata.....:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
Unajua wakati fulani tunasema polisi hawana akili lakini nikikompea na wewe naona polisi wana akili. Polisi anaanza na yule aliyemkuta na kitu, au neno au kauli.

Sasa wewe ungeanza kumuuliza huyo aliye introduce hilo neno geni kwako PGSS 10
 
Mmmmh....
Nataman sana kujua sehem hii,scale hii inaendaje
 
Nasisi tufundishen namna ya ku kokotoa..maana nami naambiwa eti mshahara wangu utakuwa pgss 11...asa maana yake ni niini?yani ni shilingi ngapi..help please nduguzanguni
 
TGS D kwa mwaka 2014/2015 ni 625,000 basic... na take home ni 507,000
TGS D Kwa mwaka 2015/2016 ni 706, 000 take home ni 568,000

yani hadi kufika 1 m ni miaka nenda rudi na gharama za maisha zinapanda mithili ya fastjet

Fastjet??? hahaaa ukilalamika TGS B1 asemeje?
 
Mi sijui ila convert hiyo currency kwa us dollar then hiyo dollar amount ipeleke kwa tzs.
 
Mnhhhhh yaani am sooooooooo embarrassed kwakweli.
Hata mimi nimejicheka hapa.
Jinsi nilivo baka swali.

Hahahahahaha! Aiseee hii ni zaidi ya komedi.nimecheka mpaka basi. Anayejua hiyo POSS 7 amsaidie huyu jamaa!!
 
Back
Top Bottom