Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Puss 3.5 scale range?
Mkuu uko sawa au unamatatizo? Unategemea utajibiwaje? Nn unataka kujua?
 
Wakuu habari zenu!

Naomba kujua kiasi cha pesa kwa salary scale ya PTSS 10-11. Nimeitwa kwenye usaili na wameonyesha ngazi hiyo ya mshara. Mods naomba msiichanganye hii thread na zile za zamani kwani huwa hazionyeshi ngazi hii ya mshahara. Asanteni!

Mshua
Ni 1091000 basic
 
hpo umeingizwa kingi mkuu kama messi alivyofanyiwa simba

Nimejaribu kufuatilia hili, jibu walilinipa ni kuwa katika salary scale ya PGSS kulikuwa ba nadaraja 20. Kwa hivi sasa kwenye mishahara mipya madaraja yamepunguzwa hadi kufikia 15.

Hivyo basi PGSS 5 ya sasa ni mshahara ule ule wa iliyokuwa PGSS 8 ya mwaka wa jana.

Kama mwenye maelezo au uelewa zaidi ya hapa, tafadhali naomba ufafanuzi zaidi. Maana nimesita kusaini appointment letter....
 
Mkuu nashukuru kwa jibu lako. je baada ya makato take home ni sh. ngapi inaweza kuwa?
Hiyo ni kabla ya ongezeko la mwaka huu kwa hiyo ilikuwa take home ni 814000 ila katika ongezeko inaonyesha imekuwa kama 1200000 ambapo take home ni kama 895000 hv
 
Hiyo ni kabla ya ongezeko la mwaka huu kwa hiyo ilikuwa take home ni 814000 ila katika ongezeko inaonyesha imekuwa kama 1200000 ambapo take home ni kama 895000 hv

Mkuu nashukuru kwa majibu yako yanayoeleweka. Pia naomba niendelee kukusumbua, je, kwa hiyo scale huwa inakua na benefits zingine?
 
Mkuu nashukuru kwa majibu yako yanayoeleweka. Pia naomba niendelee kukusumbua, je, kwa hiyo scale huwa inakua na benefits zingine?

Scale ya mshahala huwa inamaanisha ngazi ya mshahara unayostahili kwa kitengo ulichoajiriwa au kiwango cha elimu ulichonacho mfano walim dalaja la iii ni tgs b, daraja la ii ni tgs c degree tgs d master tgs e etc, lakini huwa yanabadilika kadri mda unavyo ongezeka mf. daraja la iii tgs b anapanada hadi tgs c na d na e nakuendelea kadri mda unavyo kwenda, kutoka daraja moja hadi jingine inachukua miaka mitatu hadi mine nazani umeelewa
 
Mkuu nashukuru kwa majibu yako yanayoeleweka. Pia naomba niendelee kukusumbua, je, kwa hiyo scale huwa inakua na benefits zingine?
Hiyo inatokana na mahali au chuo unachofanyia kazi....kuna vingine unatoka na mshahara tu vingine benefits zipo nying nying
 
wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo tgs d (tanzania gov. Scale d) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi private sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
july 2014 update:

[/left]
[/center]

puts (wahadhiri wa vyuo je ???)
 
kwa walimu mbona hutumia TGTS na kwa sasa walimu wa C2 Na D1 wana mshahara kima gani?
 
lapf ni kuanzia 500,000 hadi 5m hakuna hela wanajishaua tu. mi nin rafiki yangu hakuna hela
 
Back
Top Bottom