Onduru Ogy
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 1,136
- 1,179
Puss 3.5 scale range?
Mkuu uko sawa au unamatatizo? Unategemea utajibiwaje? Nn unataka kujua?
Mkuu uko sawa au unamatatizo? Unategemea utajibiwaje? Nn unataka kujua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni 1091000 basicWakuu habari zenu!
Naomba kujua kiasi cha pesa kwa salary scale ya PTSS 10-11. Nimeitwa kwenye usaili na wameonyesha ngazi hiyo ya mshara. Mods naomba msiichanganye hii thread na zile za zamani kwani huwa hazionyeshi ngazi hii ya mshahara. Asanteni!
Mshua
hpo umeingizwa kingi mkuu kama messi alivyofanyiwa simba
Mkuu nashukuru kwa jibu lako. je baada ya makato take home ni sh. ngapi inaweza kuwa?Ni 1091000 basic
Hiyo ni kabla ya ongezeko la mwaka huu kwa hiyo ilikuwa take home ni 814000 ila katika ongezeko inaonyesha imekuwa kama 1200000 ambapo take home ni kama 895000 hvMkuu nashukuru kwa jibu lako. je baada ya makato take home ni sh. ngapi inaweza kuwa?
Hiyo ni kabla ya ongezeko la mwaka huu kwa hiyo ilikuwa take home ni 814000 ila katika ongezeko inaonyesha imekuwa kama 1200000 ambapo take home ni kama 895000 hv
Mkuu nashukuru kwa majibu yako yanayoeleweka. Pia naomba niendelee kukusumbua, je, kwa hiyo scale huwa inakua na benefits zingine?
Hiyo inatokana na mahali au chuo unachofanyia kazi....kuna vingine unatoka na mshahara tu vingine benefits zipo nying nyingMkuu nashukuru kwa majibu yako yanayoeleweka. Pia naomba niendelee kukusumbua, je, kwa hiyo scale huwa inakua na benefits zingine?
wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo tgs d (tanzania gov. Scale d) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi private sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
july 2014 update:
[/left]
[/center]
Jamani naomba kujua scale za mishahara za VETA na za LAPF
Veta wana scale?
Wao wanalipaje sasa kama hawana scale?
nadhani kuna umuhimu wa ku-revise rates!...........