Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Mtoto wa Kova ameingia matatani baada ya kukumbwa na Kashfa ya sakata ya makontena.

Polisi walimtafuta wakampata lakini alitoroshwa usiku usiku akatokomea.

Habari hii imeandikwa na gazeti la Jamhuri.
 
Please, litendee haki jukwaa kwa kutuletea habari nzima (full article).

Jamiiforums is where we dare to talk openly!
 
.."utawala wa mh.magufuli utakosa heshima endapo utashindwa kutenda haki kwa UJUMLA WAKE,,mtoto wa mkubwa asiguswe!!,na kuwakalia rohoni wengine!
 
Kova yeye alijikita kutuigizia sanaa na waandishi wa habari..
Kumbe kijana wake ni Jiziii lakutupa..sasa nadhanii soon wataanza kuisoma nambaa..
 
Utakavyojua bandari kuna madudu wajiriwa karibia wote ni watoto wa vigogo na watumishi waandamizi wa TPA.
 
Mkuu Pasco umeniwahi nilitaka ni sema hilo kuwa Kamanda Kova hahusiki na matendo ya mtoto wake ambaye ni mtu mzima.
Mnatetea tu wezi, unaambiwa alishikiliwa na polisi na akaachiwa usiku sasa jiulize nguvu gani ilitumika hapo mpaka mtua atoroshwe usiku
 
Mtoto Ni Wa Kova Hata Kama Amestaafu Atafute Waandishi Apunguze Kuhusu Wizi Wa Mtoto Wake
 
Tumepata Habari kutoka usomaji magazeti kwamba Mtoto wa kamanda Kova amekamatwa bandarini akiiba kontena.

Ukipenda kunyoshea watu vidole usisahau na wewe ipo siku utanyooshewa vidole,Kova atoe taarifa kama alivyozoea kujitokeza kwenye TV na kutueleza wizi wa Mtoto wake,halafu nilimwona akijikomba eti atakuwa mwanasiasa hatutaki wanasiasa wanaofuga wezi nyumbani kwao.


Mtoto wa nyoka ni nyoka tu, watu siku zote husema Kova alikuwa anahusika na ujambazi kwa kutumia vijana wake kwa namna moja ama nyingine. Ona sasa mtoto wake naye kibaka karithi kwa baba yake.
 
Mnatetea tu wezi, unaambiwa alishikiliwa na polisi na akaachiwa usiku sasa jiulize nguvu gani ilitumika hapo mpaka mtua atoroshwe usiku
Hapo Nguvu ya Director Mkuu wa Bongo Movie aliagiza aachiwe fasta,Vako aliona ubwege kuchutama baada ya msuli kuvuka ona sasa Aibu Aibu yake hata yeye?
 
Siamini kama mtoto wa Kova ameanza wizi immediately baada ya baba yake kustaafu.

Hii kazi atakuwa nayo muda mrefu tu na siamini kama taarifa za kiintelijensia za kova alizokuwa anazitumia kuinyanyasa CHADEMA isifanye mikutano hazikuwa na nguvu ya kujua mwizi aliyemzaa yeye mwenyewe.

Hivyo kwa vyovyote Kova alijua na anajua kuwa amezaa mwizi na jeshi la polisi na intelijensia vinajua kuwa mtoto wa aliyekuwa bosi wao ni mwizi

Hivyo Kova na Jeshi la polisi wanaweza kuwa walimsaidia kwa kumfumbia macho.

Na nnavyojua huyo aliyevujisha taarifa atahamishiwa moja ya vijiji remote labda vya simanjiro atakapokutana na punda wa wamasai wakibeba mizigo au magari ya maliasili.Basi linapita mara mbili kwa wiki.
Ngoja tusikie!
 
k
Kamanda KOVA ameishastaafu kwa amani na kwa heshima!. Hana liability yoyote na matendo ya mtoto wake ambaye ni over 18 years, mwacheni KOVA apumzike kwa amani!.

Pasco
kupumzika atapumzika ila ukweli lazma usemwe,yeye si ndo kinara wa kwenye TV na waandishi wa habari kuhusu vibaka,sasa haya ya ndani kwake yalimshinda nini.

asemwe tu na ikiwezekana atumbuliwe jipu
 
kweli, yaani hata mtoto wa usalama wa taifa? kweli hii nchi iliuzwa
 

Attachments

  • KOVA.jpg
    KOVA.jpg
    47.1 KB · Views: 160
Back
Top Bottom