figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mnatetea tu wezi, unaambiwa alishikiliwa na polisi na akaachiwa usiku sasa jiulize nguvu gani ilitumika hapo mpaka mtua atoroshwe usikuMkuu Pasco umeniwahi nilitaka ni sema hilo kuwa Kamanda Kova hahusiki na matendo ya mtoto wake ambaye ni mtu mzima.
Tumepata Habari kutoka usomaji magazeti kwamba Mtoto wa kamanda Kova amekamatwa bandarini akiiba kontena.
Ukipenda kunyoshea watu vidole usisahau na wewe ipo siku utanyooshewa vidole,Kova atoe taarifa kama alivyozoea kujitokeza kwenye TV na kutueleza wizi wa Mtoto wake,halafu nilimwona akijikomba eti atakuwa mwanasiasa hatutaki wanasiasa wanaofuga wezi nyumbani kwao.
Hapo Nguvu ya Director Mkuu wa Bongo Movie aliagiza aachiwe fasta,Vako aliona ubwege kuchutama baada ya msuli kuvuka ona sasa Aibu Aibu yake hata yeye?Mnatetea tu wezi, unaambiwa alishikiliwa na polisi na akaachiwa usiku sasa jiulize nguvu gani ilitumika hapo mpaka mtua atoroshwe usiku
Tulia kwanza habari ikolee ndio uchangie..Please, litendee haki jukwaa kwa kutuletea habari nzima (full article).
Jamiiforums is where we dare to talk openly!
kupumzika atapumzika ila ukweli lazma usemwe,yeye si ndo kinara wa kwenye TV na waandishi wa habari kuhusu vibaka,sasa haya ya ndani kwake yalimshinda nini.Kamanda KOVA ameishastaafu kwa amani na kwa heshima!. Hana liability yoyote na matendo ya mtoto wake ambaye ni over 18 years, mwacheni KOVA apumzike kwa amani!.
Pasco