Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Like father like son.I have always believed tha Kova has something to hide.That something has been revealed.
 
unaongea nini we Mimi cjakuelewa kunyeshewa vidole ni tatatizo kama yes alinyoshewa itakuwa kova ebu mwacheni mzee apumzike kazi yake asha maliza tena vizuri mdongo yakuji pendekeza hatutaki
 
Huyo mtoto wa Kova kweli au basi tu.Ebu wekeni picha yake maana Kova watoto wake ukitaka kuwajua wtazame macho yao copy ya Kova 100%.
 


Huoni kuwa ni dalili ya wazi ya chuki waliyonayo kwa Kova? Bila shaka scandal ya mwanae ni ya familia pia. Ina undermine credibility ya familia ya Kovaa. Nilitegemea mwenye akili ungeona uhusiano huo hata bila kuambiwa.
 
Je mstaafu Kova hakuwa anajua kuwa mwanaye anahujumu taifa? Kama alijua alifanya nini?
 
Mabadiliko ya kweli hayatapatikana hii nchi mpaka mfumo mzima wa nchi utakapo badilika ;haya mawazo nilisiyasikia zamani sana miaka ya 1970.
 
Je mstaafu Kova hakuwa anajua kuwa mwanaye anahujumu taifa? Kama alijua alifanya nini?
Labda ungelimuuliza pia huyo kijana wake aliwezaje kupata dhamana usiku usiku katika kesi ya uhujumu uchumi kama hii!
 
Samahani nilikuwa Naomba kujua mshahara kwa fundi umeme mwenye level three certificate, analipwa sh. Ngapi serikalini?
 
Habari wanajamvi,

Nawasalimu nyote watu wa Mungu. Mimi napenda kujua tu kuhusu ngazi za mishahara serikalini, hasa 😛GSS 3.1 NA PGSS 5.3.

Asanteni
 
Nenda utumishi utapata,otherwise ipo page humu ina maelekezo yote,tafuta
 
Mfano PGSS 7. 1 ina ananzia sh ngapi (gross salary) serikalini..
mlioko huko tujulisheni
 
Mfano PGSS 7. 1 ina ananzia sh ngapi (gross salary) serikalini..
mlioko huko tujulisheni

pitia HAPA ndugu, utapata info yote unayohitaji nadhani. Hiyo unayoiulizia bila shaka itakuwa PSS G 7 ambayo ni Sh 1,452,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…