Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Hii laki tatu na kitu ndomshahara baada ya makato au kablawakuu????
 
Naomba kujuzwa viwango vya mishahara ya PUSS3 na PHTS1
 
Jamani mwenye kujua ngazi ya mishahara PHTS1 na PUSS3
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

Mishahara ya Nimr je kuna mtu anajua. Kwa mchumi au mwasibu akiwa anaanza
 
Kuna sehemu imeandikwa mshahara ni kwa mujibu wa "Tresuary Registrar Salary Circular No.. 6 of 2015" sijui ni kiasi gani wakuu, msaada tafadhali
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:
nchi gan??????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…