Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Mbombo jilipo ukilipwa lakimbili labda ukae shamba ulime mjini utaolewa aisee
 
Wazee Mwenye ufahamu salary scale PGSS 6.1,ni Sawa million ngap?plz
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

Hakuna latest updates ??
 
Back
Top Bottom