ForthePips4
New Member
- Jan 16, 2018
- 1
- 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TNPSS B kwa sasa ni shilingi ngapi?Ni mshahara wa Tshs 282,595.50
Umejaribu kucheki kwenye website yao?Habari wadau, kwa anayejua, nilitaka kujua TCAA salary scale 7 ni mshahara wa shilingi ngapi.
ahsante
Umejaribu kucheki kwenye website yao?
Hahahaa najua mkuu... nlikuwa nachangamsha jamvi tu.Kwenye website hawaweki mshahara mkuu
Hahahaa najua mkuu... nlikuwa nachangamsha jamvi tu.
Pesa ya madafu .Habari wadau, kwa anayejua, nilitaka kujua TCAA salary scale 7 ni mshahara wa shilingi ngapi.
ahsante
nimeuliza pia hili swali sijapata majibu, vipi umepata ni sh ngapi mkuuWazee Mwenye ufahamu salary scale PGSS 6.1,ni Sawa million ngap?plz
Wapo walionambia ni laki 9wengine 1.2M so still sijapata usahihi wake haswaanimeuliza pia hili swali sijapata majibu, vipi umepata ni sh ngapi mkuu
nimeangalia ipo kwenye scale ya mishahara ya bunge ukiicheki kwenye ile list yao ni 1.4 hiviWapo walionambia ni laki 9wengine 1.2M so still sijapata usahihi wake haswaa
WADAU NAULIZIA TGSS 5.1 NI KIASI GANInadhani kuna umuhimu wa ku-revise rates!...........
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
Yaani, I kant imajin!!!!!
Mshirazi........naomba nikupe ushauri kuhusu ajira za serikali na sitaki kuzungumzia kipato ila performance yako katika kazi.
Nina rafiki yangu tumemaliza pamoja ADA anafanya kazi serikalini siku mmoja tulikutana na kuzungumza masuala ya kazi nilishangaa sana!
Utaratibu mzima wa nidhamu pamoja na kazi zenyewe si sehemu ya kwenda unless ujitolee sana kufanya kazi la sivyo utakuwa hujifunzi chochote na utakuwa huna challenge mpya we ni kwenda na kurudi siku imepotea.
Jambo zuri ambalo lipo chance ya kuendelea kusoma ni kubwa so fanya maamuzi kutokana na malengo uliyojiwekea.
Mshahara ni mdogo ila marupurupu yakikukalia sawa utaipenda kazi.
Kuhusu scale za mshahara sina idea wenye nazo watupe mwanga please!!
hivi mimi sina aidia na scale za mishahara!halafu ninasali nipate kazi serikalini...lolz!
duh hivi wanaishije...! TGS D ni graduate huyo! Tunatarajia pia alipe deni lake la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu!
Mbuvu yuko sahihi jamani, TGSD nI 322 ELUFU! hiyo kwako mkuu labda ilikuwa enzi zile.....
Then jambo la kusikitisha vi semina, vikongamanao, vi warsha pinda kavifuta vyoote! Sijui jamaa wanaishije kweli duniani hakuna usawa! wakati kuna watu wanajengewa nyumba moja ya kulala kwa mabilioni na taasisi ya umma mtu mwingine mwenye mahitaji sawa analipwa 322 elufu kabla ya makato! na hapo hajachukua mkopo SACCOS!!!!!....
Usichane resume yako. Badala ya kuomba hiyo kazi, sasa omba ukurugenzi, ukatibu mkuu, ukuu wa wilaya/mkoa. Ukishindwa omba basi hata ubunge manake utaweza kupata na uwaziri halafu mshahara wako pamoja na marupurupu yanaanzia mil 3 hadi karibia 20 kwa mwezi. Sio unaona kunavyolipa serikalini?
Ukishindwa vyote hivyo, hata ukatibu wa ccm wa wilaya? manake nako unaanzia na zaidi ya milioni! Hii nchi si inawenyewe? kama hutaki kuwa miongoni mwao, basi utaishia na hivyo vilaki 2 au 3 vile!
Hii post yako imenikumbusha mbali kweli. "Mtoto wa nyani alipomuuliza mama yake, mpaka wa shamba lao ili asijekula mahindi yasiyokuwa ya kwao. Mama alimjibu, kula tu mwanangu wenyewe watakuja kugawa". Tanzania, wanaendelea kula tu, hadi wenyewe watakapokuja kugawa! maybe in 50 or 100 years to come! who knows/cares? Don't you see them keeping a distance?