Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Wakuu naomba niulize. Nimeona Mzumbe University wanatumia salary scale ya PGMSS. Je, mishahara yao inakuwaje, tafadhali? Mathalani, mshahara wa PGMSS 7.1 unaweza kuwa kiasi gani?
 
wadau ivi mtendaji wa kijiji na kata wenye elimu ya certificate na diploma respectively wanapokea shilingi ngapi
 
Wakuu naomba niulize. Nimeona Mzumbe University wanatumia salary scale ya PGMSS. Je, mishahara yao inakuwaje, tafadhali? Mathalani, mshahara wa PGMSS 7.1 unaweza kuwa kiasi gani?
Ukiipata na nijuze tafadhali.
Bila kusahau na ile ya PGMSS 1.1
 
iv viwango hivi vya mishahar a ni kabla ya makato??? au baada ya makato???
 
GS C, TGS B, TGS A naomba unisaidie hapa wanamaanisha nini vivi vifupi kama ni elimu ni kiwango gani
 
Sasa ndugu zangu Walimu hapo hali ikoje maana nimeshafanya huko hakuna posho,allowances mpaka pesa za Likizo ni mwezi hadi mwezi au Mpk uchaguzi na Sensa...Poleni sana.
 
Naomba kujua mshahara wa afisa ustawi was jamii diploma level na changamoto pia hata fursa zilizopo kwenye kada hii kwa sasa ni medical attendant kwa mwenye uelewa naomba msaada wa mawazo maana nataka kuhamia huko
 
Write your reply...wapendwa samahani mimi ni mesomea basic technician certificate in accountancy nitafanye ili kupata ajira mana nimekosa pesa ya kujiendeleza naombeni ushauri wenu nina uzoefu mkubwa katika makampuni mbalimbali ambayo nimejitolea naombeni msaada wenu
 
Hivi wenye shamba ndio wamekuja kugawa mpaka wa shamba sasa?
Maana kazi ya Mzee Magufuli sio mchezo.

Nyani wanakula shamba la mahindi kwa woga sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…