Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Nadhani ulinganifu Na utofauti Ni kwa fani Na fani wakuu Kuna fani mishahara n kichef chef......lkn ukiajiriwa serikalini ujue umekwepa ushindani ktk kazi n ukicheza unalemaa,kujitolea kwingi,siasa kuliko logic,.....na ushamba mwing huku hutakiw kuwa tajir yaaan n balaaa
 
Hapo kwenye posho nilijua ipo kwenye scale ya mishahara!!
Vipi wenye elimu kama.huna cheo bado unakula 400k....maana kuna jamaa zangu walienda huko na degree ila vyeo hawana
 
There something ambacho wengi wetu tunachnganya hapa katika viwango vya mshahara let me try to make it clear...ni hivi Hizo TGOS huwa zina depend pia na kiwango cha elimu yako nikimaanisha kuna elimu ya form4 most of them wanacheza katika TGOS1 hiv kama 240,000 pak level fulan then kuna A-level chet cha form6 pia wako na level zao katika malipo then kuna certificate pia wako na level zao na kuna wa diploma pia wana level zao za mshahara serekalini and hata wa degree wako na level zao so in short katika level za mshahara haziwez kulingana et mtu wa degree akapokea same amount na mtu wa diploma unless otherwise ukute condition like zimetoka nafasi za kazi kitengo cha office attendant wanahitaji watu wa form 4..so wew upo home una diploma yako au degree bt huna ajira uka apply hiyo kazi lazima mshara utakua ni TGOS1 au kidgo but they will consider if you have another knowledge kama unakuta labda degree yako au diploma yako umesomea nin hapo lazima utapat ufaida fulan...so kuhusu mshahara it depend na elimu yako na pia ume apply kazi kulingana na elimu yako au wewe umeapply iliyo chini ya elimu yako so dont expect to gain more while ume apply katk kitengo ambacho umetumia chet chako cha chini kam 4m4 so kuna faida utaipat wenda badae utapata upgrade itakueka pazuri au ukaejiendeleza kimasomo and pia kuhusu serekalini mshahara wake ni uhakika sio kam private ukiwa unaumwa au dharura or uwe umeenda kusoma bado unapata mshahara so tusiangalie sana kupata kikubwa angalia pia na elimu yako inastahiki kupata kile kikubwa....nimejaribu kuelewesha mwenye hoja ya kupinga anaribishwa pia mwenye mnofu wa kuongeza ni ruhusa kunielimisha sehm nilipo kosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Truth
 
📌
 
Mkuu kuna taasisi zina lipa vizuri tu achana na ilo la degree sijui Diploma kuna mtu ana cheti tu na anamzidi hata degree holder emu research Tanapa au TBS afu nenda kafanye comparison na salaries za Halimashauri
 
mh! kianzia leo sifanyi kazi kwakieleele tena yani sijitumi ng'o hadi nifike TGS I ndo ntakua nakieleele....akhaaaa yani bado niko TGS C
fanya kaz kwa kuwahudumia watu, thawabu Mungu atakulipa maana ukisema ufikirie mshahara unaweza usiwe na moyo kabisa wa kazi kutokana na gaps zilizopo
 
Wakuu PGSS 6 kwa mwenye diploma ni sh ngapi
Kada gani? Nafahamu Dip anakula 805k kwa hiyo scale PGSS ambayo ni 4.1 na sio hiyo 6 pia hiyo 6 haishuki 1.2m japo sina exactly amount figures, na kumbuka ni Gross sio Take home.
 
Sajili kampuni leo kiurahisi sana

*Bei imekua nafuu
*Hauhitaji msongamano tena
*Huduma hapohapo ulipo
*Huduma ni ya haraka zaidi

Kwa Ushauri na kusajili, kununua,kuuza Kampuni

-Kwa kufahamu garama za usajili n.k
-Kama unaswali

Wasiliana nasi 0788104228
Huma nyingenezo

Kuandaa memorandum
Kuandaa mahesabu ya kodi
Kuprocess visa(viza)

USHAURI NI BURE
 
Mfano umeitwa kazini na mshahara uliopangiwa ni TGS D , Hivi hapo kuna kuwa na posho , na inakuwa sh ngapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…