Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

TPDCS 13 ni sh ngapi wakuu

Mishahari yenye ngazi maalumu za Taasisi husika kama hii ya TPDC inafahamika zaidi na waliomo ndani ya taasisi husika, kama kuna mtumishi wa taasisi hiyo humu ndani atakusaidia
 
ingekuwa vizuri kama ningepata hiii scale hapa
Mishahari yenye ngazi maalumu za Taasisi husika kama hii ya TPDC inafahamika zaidi na waliomo ndani ya taasisi husika, kama kuna mtumishi wa taasisi hiyo humu ndani atakusaidia
 
Msaada wakuu
Mshahara wa Mhifadhi wanyama Pori
Mwenye level ya degree
 
Naomba kujua ngazi ya mshahara TMSS 7 ni shilingi ngapi? Hao ni Bodi ya Nyama ya Tanzania
 
Vipi kuhusu kwenye mashirika ya umma Kama TRC...unakuta wanna ngazi zao za mishahara..je TRC S 3 ni shilingi ngapi?
 
Hivi PRSS 1.1 na PRSS 8/9 Ni kiasi gani

Na kwa anayefahamu, Nini maana ya 8/9, kwenye hiyo PRSS 8/9
 
Kuna kipindi TBC walitangaza ajira na mshahara ilikuwa PGSS 6.1

Tafadhali hy scale n shilingi ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…