Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

Mbona apa sioni mshaara wa tpsw 1?? Na je Io ni shiingapi? Niliiona Io uamiaji
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

na PGSS 6 Ni ngapi?
 
Aisee kumbe ndio maana rushwa haitaisha. Najiuliza mpaka upande ufikie million si mtu ameshastaafu jamani
Mishahara ni midogo sana halafu unakuta wananchi wanawachukia watumishi,wangejua mishahata wanayopata ilibidi wawaonee huruma tu,ni bora hata mkulima wa mbogamboga ana uhakika wa maisha
 
Fala wewe unayeamini katika kuajiriwa kwa laki nne kwa mwezi , kwa taarifa yako nimeajiri vilaza kama wewe na nawalipa mshahara mzuri sio hizo laki nne zako na bado unaishi hujafa, hii inaomnyesha ni jinsi gani uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, simu yeyewe unatumia huawei , nilishasema hapa uwezo wenu ni mdogo kwakua hamna elimu ya kujua ukweli mtu mwenye njaa hawezi kufikiri properly bel;ieve me
MTU mwenye stress anawakawaka
 
Mishahara ni midogo sana halafu unakuta wananchi wanawachukia watumishi,wangejua mishahata wanayopata ilibidi wawaonee huruma tu,ni bora hata mkulima wa mbogamboga ana uhakika wa maisha
Lkn watumish weng wez sana wanaibia sana Serikali
 
Back
Top Bottom