Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

Mbona apa sioni mshaara wa tpsw 1?? Na je Io ni shiingapi? Niliiona Io uamiaji
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

na PGSS 6 Ni ngapi?
 
Aisee kumbe ndio maana rushwa haitaisha. Najiuliza mpaka upande ufikie million si mtu ameshastaafu jamani
Mishahara ni midogo sana halafu unakuta wananchi wanawachukia watumishi,wangejua mishahata wanayopata ilibidi wawaonee huruma tu,ni bora hata mkulima wa mbogamboga ana uhakika wa maisha
 
MTU mwenye stress anawakawaka
 
Mishahara ni midogo sana halafu unakuta wananchi wanawachukia watumishi,wangejua mishahata wanayopata ilibidi wawaonee huruma tu,ni bora hata mkulima wa mbogamboga ana uhakika wa maisha
Lkn watumish weng wez sana wanaibia sana Serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…