Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:
TNPSS F scale yao ni sh ngap ?
 
Medical Attendants wapo siku hizi?Kama wapo,basic salary yao ikoje?i.e kada ya afya.
 
TGS A1 346,000
TGS B1 394.000
TGS C1 582,500
TGS D1 639,000
TGS E1 819,000
TGS F1 1,053,000
TGS G1 1,370,000
TGS H1 1,784,000
TGS I1 2,465,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka Alhamis wizaran. Inaanza Julai 2014.
hivi hii mishahara ni ya kweli? Nisije nikamuingiza mtu chaka hapa😄
 
Hivi hii mishahara ya TGS inaapply mpk kwa akina TTCL ama wao wana rate zao?
Na kama wanazo za kwao scale zao zikoje?
 
Jambo Tz,
Samahani ndugu, nimejaribu kutafuta PRSS scale ya 1.1 sijafanikiwa kuiona.Je unaufahamu kuhusu hiyo au na yenyewe inalingana na NIP ipi?
 
kweli hata mimi ningependa kujua scales hizi zina maana gani hasa kabla ya kuomba kazi kwa serikali mtu asije akaomba na kupita interviews zote na kukuta scale ambayo hangependa kuanzia. PRSS1 ni kiasi gani? ningependa kujua hili.
Ulifanikiwa kujua mama?Je PRSS 1.1 ni ngapi?
 
Back
Top Bottom