Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,955
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata simba anapendwa sana tatizo njaa tu ndio inamfanya aonekane mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivyo vitumbili ndo kabisaa vimemgeuza babu yao vinamchezea sharubu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ama kobokoNatamani kuiona picha ya huyo mnyama akiwa na Anaconda wakipiga stori.
Capibara anapata tabu sana kwa anaconda vinamezwa sanaHuyo ni Duma na huyo mwingine ni Capibara.
Maajabu yake ni kwamba ni mnyama aneyependa sana urafiki,ndicho kinachomponzaga.Capibara anapata tabu sana kwa anaconda vinamezwa sana
SanaHehehehehe ngekewa ni mnyama mmoja fresh sn
Mkuu ukimuona pale mikumi mkaribie umshike kidogo alafu utupe mrejesho wa ngekewa wako huyu.Kwa wasio mfaham "NGEKEWA" ndo huyo anapenda kuwa kalibu na watu .View attachment 813854
Sio wangu mkuu huyo ndo ngekewa anapenda urafiki sanaMkuu ukimuona pale mikumi mkaribie umshike kidogo alafu utupe mrejesho wa ngekewa wako huyu.