Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

Hata nyumba za biashara wewe mpangaji ndio unapeleka kodi ya zuio tra. Ndio maana mkataba wa pango lazima uupeleke tra wakakufanyie hesabu za stamp duty na hio withholding tax.
 
Hata nyumba za biashara wewe mpangaji ndio unapeleka kodi ya zuio tra. Ndio maana mkataba wa pango lazima uupeleke tra wakakufanyie hesabu za stamp duty na hio withholding tax.
Wape elimu wape elimu

Lipa kodi kwa maendeleo ya taifa

Ova
 
Sasa nawasilishaje kodi ambayo nimeilipa kabla ya sheria kutungwa?

Yani ni sawa na wewe wakuambie ulipie 10% yq miaka yote ambayo umeishi kwenye nyumba ya kupanga
Utawasilisha ya mwaka husika.
 
Ukipata nafasi ya kuwatawala matanzania hata cheo cha afisa tawala wa kata ukashindwa kutajirika wewe ni mjinga wa mwisho, ni makondoo grade A hapa duniani
Kejeli ya namna hii haiwezi kuungwa Mkono na Mimi.
 
Mimi naona hapo wanaopanga watazidi kuumia tu,kitakachofanyika ni hivi,tuseme kodi ya nyumba ilikuwa laki 5 mwenye nyumba atapandisha iwe 5.7 ili ukitoa 10% ile tano yake iendlee kubaki pale pale...
 
Kimfumo na kiuongozi Tanzania kutozesha wananchi ni wizi tu, bado hatuna demokrasia, katiba mbovu na mapungufu chungu nzima, huduma za kijamii ndio vituko, kutozesha watu kiasi hiki ni kufaidisha wachache...
Ni sawa na kuweka maji kwenye tenga, hizi tozo hazitasaidia chochote...
 
Okay, ni jambo zuri. Lakini kwa upande wangu ningemuomba rais akemee kwa wapangishaji kututoza kodi kubwa, nyumba ya laki nne atleast iwe nusu yake, nyumba ya laki tatu atleast iwe nusu yake. Naiomba serikali itufikirie kwenye hili pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…