aloma_matei7
Member
- Dec 13, 2018
- 12
- 11
Nyingine hii huku.Withholding tax, kumbe kulikuwa na msamaha kwa wapangaji binafsi. Kwenye biashara tushazoea kulipa hio. Tulipe kodi kwa maendeleo ya taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyingine hii huku.Withholding tax, kumbe kulikuwa na msamaha kwa wapangaji binafsi. Kwenye biashara tushazoea kulipa hio. Tulipe kodi kwa maendeleo ya taifa.
Hata nyumba za biashara wewe mpangaji ndio unapeleka kodi ya zuio tra. Ndio maana mkataba wa pango lazima uupeleke tra wakakufanyie hesabu za stamp duty na hio withholding tax.Nyumba za kupanga sio biashara rasmi sana ndio maana wengi hatujui...
Lakini kwa watu wenye fremu, apartments zenye leseni ya biashara huwa wanafanya withholding tax kwa niaba ya wapangaji...
Hivyo wewe mpangaji utaona umetoa kodi yako kama kawaida, lakini mwenye nyumba anarejesha 10% ya serikali huko 'tiaraei'...
Kulipa kodi bongo ni kufaidisha wenye vyeo ili wapate hela za kuchezea per diem na kuiba na kwenda kuzificha uswiziWananchi wanasahau kuwa nchi zinaendelea kwasababu ya kodi. Hatutakiwi kugomea kodi, tunatakiwa kupaza sauti kodi zetu zitumike vizuri kwa maendeleo yetu.
Wape elimu wape elimuHata nyumba za biashara wewe mpangaji ndio unapeleka kodi ya zuio tra. Ndio maana mkataba wa pango lazima uupeleke tra wakakufanyie hesabu za stamp duty na hio withholding tax.
Utawasilisha ya mwaka husika.Sasa nawasilishaje kodi ambayo nimeilipa kabla ya sheria kutungwa?
Yani ni sawa na wewe wakuambie ulipie 10% yq miaka yote ambayo umeishi kwenye nyumba ya kupanga
Hahaha Kama si kuchunwa ngozi....Kilichobaki kuvuliwa nguo tu.
Ndizo hizi daktari wa uchumi anazoita retrospectively?Nyingine hii huku.View attachment 2334286
Na ya singida big starsWape elimu wape elimu
Lipa kodi kwa maendeleo ya taifa
Ova
Kejeli ya namna hii haiwezi kuungwa Mkono na Mimi.Ukipata nafasi ya kuwatawala matanzania hata cheo cha afisa tawala wa kata ukashindwa kutajirika wewe ni mjinga wa mwisho, ni makondoo grade A hapa duniani
Aisee, mpagaji amekuwa team TRA. Patamu sana hapa.Anazuia hiyo 10% ya malipo ya pango, na anapaswa kuireturn TRA