MUSIGAJI
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 2,254
- 2,715
Atakachokifanya ataongeza kodi badala ya kuwa 2m itakuwa 2.25 ili hiyo itakayoongezeka ndo uipeleke TRA yeye atabaki na fedha yake.Mpangaji unatakiwa kuzuia 10% ya kodi unayolipa. Mfano kodi yako kwa mwaka ni 2m unapeleka tra 200,000/- mwneye nyumba unampa 1.8m na ushahidi kuwa umelipa 10% tra.