Ng'ombe mwenye thamani ya IST

Mkuu mwaka huu kauzwa rand 3m zidisha mara Tsh 160 upate hela za kitanzania unaweza kudhani unadanganywa hata mtandaoni yupo...
Nimeona mkuu, ila sijui kama niliyoiona ndiyo uliyoizungumziaπŸ˜€

Kulingana na "Jarida" la African Farming Report la mwezi August 2023, Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, alilinunua dume la ng'ombe (Boran) kwa Randi 3.5m sawa na zaidi ya Tsh 400,000,000/=.

Dume hilo la ng'ombe lililojulikana kwa jina la Jester, lilikuwa likiuzws kwenye mnada wa Mpamalanga.

Taarifa pia zinaonesha kuwa Ramaphosa alimwuza mg'ombe wake wa Kiankole kwa Rand 2.65m, sawa na zaidi ya Tsh 200,000,000/=.

Kwa ufupi, ng'ombe waliotunzwa vizuri wana faida sana.
 
Akili ya wapi unaitafuta angalia mtandaoni ng'ombe wa Ramaphosa anauza bei gani mnadani aliwahi uza ng'ombe kadhaa hela akaenda kuficha shambani huko huko wahuni wakazipitia hakupeleka Bank ilitaka kumtoa kwenye Urais kwa kukwepa kodi...
Uko sahihi mkuu! Taarifa zipo mtandaoni.
 
Ngombe wa Ramaphosa huyo kwa usd alitoa kama usd 186,000 watu waliandamana hii ishu SA pana vitu vinafanyika ukiambiwa hauwezi kuamini hata kidogo...
Samahani mkuu! Kwa nini watu waliandamana?
 
sawa umeshinda wauliuzwa hyo bei, temana na mm basi, ila hakuna mtu hapa duniani anaweza kubaliana na huu upuuzi, ngombe mmoja milioni 400+, only mwenye mtindio wa ubongo atakubali.
πŸ˜€
Mkuu, google hizo taarifa mtandaoni ili ujionee mwenyewe.
 
πŸ˜€
 
Mwaka jana kuna Boran aliuzwa kwa mnada...10million pale ubena zomozi highland estates, Mbogo farm kwa akina Mulla.

Ilikuwa ni kwenye exhibition za commercial cattle farmers...!
βœ…πŸ™πŸ™πŸ™
 
Si alienda Kitulo akashangaa ng'ombe wa namna kama hiyo, na anapatikana Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…