GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #121
Ni kweli kabisa mkuu!ufugaji ni utajiri mkubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa mkuu!ufugaji ni utajiri mkubwa sana
🙏🙏🙏Nilibahatika kuona Ng'ombe aliopewa zawadi na chuo cha kilimo.wakati anastaafu, walikuwa ni wakubwa Sana, wenye uzito huo. Chuo Cha mpwapwa kinazalisha boran hivyo hao Ng'ombe wapo kitambo
Bado wanakula chakula chao ...kama Kuku WA kisasa...na chakula pia sio bure.....gharama halisi ni kubwaKwahiyo lita 60kwa siku x 1,500=90,000 kwa siku. Kwa mwezi 90,000x30=2,700,000. Kwa mwaka 2,700,000x12=32,400,000
🙏🙏🙏Yap mpaka 2 tonnes! Wapo Kongwa kwa anaetaka Mbegu
🙏🙏🙏Unaweza kujua ndama dume wa miezi 5 had mwaka wanauzaje mkuu wangu.,?
✅🙏🙏🙏wanapatikana wapi mkuu, mm hata akinipa lita 30 kwa siku wastan kwa miezi sita tu bado ni bingo.
🙏Bado wanakula chakula chao ...kama Kuku WA kisasa...na chakula pia sio bure.....gharama halisi ni kubwa
Nimeona mkuu, ila sijui kama niliyoiona ndiyo uliyoizungumzia😀Mkuu mwaka huu kauzwa rand 3m zidisha mara Tsh 160 upate hela za kitanzania unaweza kudhani unadanganywa hata mtandaoni yupo...
Kama unaelewa maana ya kunoa shoka kwa masaa sita ili ukate mti kwa masaa mawili hutakuwa na la kukushangaza.Hao wazee wa kilimo cha pdf mkuu
Achana nao tu
Uko sahihi mkuu! Taarifa zipo mtandaoni.Akili ya wapi unaitafuta angalia mtandaoni ng'ombe wa Ramaphosa anauza bei gani mnadani aliwahi uza ng'ombe kadhaa hela akaenda kuficha shambani huko huko wahuni wakazipitia hakupeleka Bank ilitaka kumtoa kwenye Urais kwa kukwepa kodi...
Samahani mkuu! Kwa nini watu waliandamana?Ngombe wa Ramaphosa huyo kwa usd alitoa kama usd 186,000 watu waliandamana hii ishu SA pana vitu vinafanyika ukiambiwa hauwezi kuamini hata kidogo...
😀sawa umeshinda wauliuzwa hyo bei, temana na mm basi, ila hakuna mtu hapa duniani anaweza kubaliana na huu upuuzi, ngombe mmoja milioni 400+, only mwenye mtindio wa ubongo atakubali.
😀Mkuu kuwa mstarabu usitukane kwa vitu usivyovijua mimi mwenyewe nilikataa ila asubuhi nikajiridhisha hao jamaa wanauziana mpaka kesho hizo bei hapo Mpumalanga Auction ni swala la kutembea tu uone maajabu ya Dunia huyo ni ng'ombe umeruka hivyo vipo vitu vingi vingi...shida Tanzania Ugali umetudumaza Ubongo usichoweza wewe unadhani kila mtu hawezi tembea zunguka Dunia uone maajabu yake...
🙏Namaanisha mbwa wana hela kuliko ng'ombe
✅🙏🙏🙏Mwaka jana kuna Boran aliuzwa kwa mnada...10million pale ubena zomozi highland estates, Mbogo farm kwa akina Mulla.
Ilikuwa ni kwenye exhibition za commercial cattle farmers...!
🙏Wale ng'ombe waliletwa Tanzania, siku roli zinavuka nilikuwa border Tunduma na zilikuwa na escort baada ya kuanza safari.
Mbeya 1000Duuh,lita 1500??
Dsm tunauziwa 2000
🙏aisee hao ngombe nawatamanigi sana, ukiwa nao kumi tu unakunja 100m yako safiii, hata kama watakuwa wamekula 60m bado faida ya 40m si haba aisee
Si alienda Kitulo akashangaa ng'ombe wa namna kama hiyo, na anapatikana TzUzitowake si chini ya kilo 1,000 yaani tani moja.
Umenikumbusha Kikwete alikwenda Zimbabwe akashangaa kuona ng'ombe anauzito unaozidi tani moja, mpaka anaondoka madarakani hakuiwezesha nchi iwe na ng😱mbe wa aina hiyo, hapo ndipo utaona ziara zao huwa kwa manufaa yao tu.
Huyo jamaa yuko vizuri nimejifunza mengi sana na nitaenda siku moja UG kumtembeleaMkuu, nashukuru sana kwa taarifa🙏
Nitamfuatilia, huenda "nitaokota"