Hesabu za kilimo cha tikiti hizi.Sasa kama anakupa Lita 20 Tu x 2000= 40,000 Kwa siku x 30= 1,200,000 x mwaka= 14,000,000 toa 2,000,000 za kumtunza unarejesha pesa yote ...hapo ndama na mbolea sijaweka.Kuanzia mwaka wa 2 ni faida tu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Unafunga tela kama farasi wanavyoBora ng'ombe. Kama ni usafiri, hata ng'ombe anaweza kutumika ikilazimu🤣
Lakini hata huku kwetu huo usafiri unatumika sana tu ingawa mara nyingi ni punda ndiyo wanaokokoteshwa "mtela"Unafunga tela kama farasi wanavyo
Fanyaga kuke kwenye nchi za wenzetu😂😂😂
😀Nadhani ni kwa sababu huwa wanazungumz mengi yasiyo na uhalisia
Gharama ya kumtunza inazidi hiyo 2,000,000/- kwa mwaka hasa Kama unamfuga mjini.Sasa kama anakupa Lita 20 Tu x 2000= 40,000 Kwa siku x 30= 1,200,000 x mwaka= 14,000,000 toa 2,000,000 za kumtunza unarejesha pesa yote ...hapo ndama na mbolea sijaweka.Kuanzia mwaka wa 2 ni faida tu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Unajuaje labda ktk wale ng'ombe wake wapo aina hiyo, anawazalisha wengi asambaze mbegu kwa watanzania wengi?Uzitowake si chini ya kilo 1,000 yaani tani moja.
Umenikumbusha Kikwete alikwenda Zimbabwe akashangaa kuona ng'ombe anauzito unaozidi tani moja, mpaka anaondoka madarakani hakuiwezesha nchi iwe na ng😱mbe wa aina hiyo, hapo ndipo utaona ziara zao huwa kwa manufaa yao tu.
Ng'ombe anakamuliwa mwaka mzima 🤣🤣Ila nyie motivation speakers huwa mnaongea vitu kiurahisi rahisi sana
Kwa DSM maziwa dili kubaki ni ngumu.Ayabakii Kila siku utauza yote tuu??
Si umemuona kwenye Video hapo?Tembo anatoa lita 60 kwa siku anakamuliwa mara 3 kw siku.Which means analishwa Pia mara tatu kwa siku n kupewa maji ya kutosha na madini.hii hesabu haina uhalisia mkuu, utaingia chaka buree, halafu lita 60 kwa siku? sipingi ila kwa tanzania sidhani kama kuna ngombe wa kutoa hzo lita kwa siku.
mkuu unawafahamu wafugaji au unawasikiaga tu?Si umemuona kwenye Video hapo?Tembo anatoa lita 60 kwa siku anakamuliwa mara 3 kw siku.Which means analishwa Pia mara tatu kwa siku n kupewa maji ya kutosha na madini.
✅Gharama ya kumtunza inazidi hiyo 2,000,000/- kwa mwaka hasa Kama unamfuga mjini.
🙏Unajuaje labda ktk wale ng'ombe wake wapo aina hiyo, anawazalisha wengi asambaze mbegu kwa watanzania wengi?
Rejea: Kuna kipindi alionesha shamba lake la sweet yellow corns (mahindi ya njano) kwa ajili ya malisho ya mifugo.
🙏Kwa DSM maziwa dili kubaki ni ngumu.
🙏🙏🙏Si umemuona kwenye Video hapo?Tembo anatoa lita 60 kwa siku anakamuliwa mara 3 kw siku.Which means analishwa Pia mara tatu kwa siku n kupewa maji ya kutosha na madini.
😀mkuu unawafahamu wafugaji au unawasikiaga tu?
Kuna uwezekano mkubwa amezidisha kiwango cha maziwa anayotoa kwa siku. Lita 60 haina uhalisia.Si umemuona kwenye Video hapo?Tembo anatoa lita 60 kwa siku anakamuliwa mara 3 kw siku.Which means analishwa Pia mara tatu kwa siku n kupewa maji ya kutosha na madini.
Ng'ombe ana afya mpaka anapendeza✅