Ng'ombe mwenye thamani ya IST

Ng'ombe mwenye thamani ya IST

Hongera sana Bwana Urio nimeupenda sana mradi wako. Naomba nijulishwe bei ya mbwa moja ni kiasi gani na wastani wa gharama ya matunzo yake kwa mwezi. Ninataka kuachana na ulinzi wa Makampuni ambao wananitoza gharama kubwa ya ulinzi. Ikiwezekana nipate namba yako ya mawasiliano.
 
Boran bull anapatikana SA mnadani anauzwa kuanzia rand 2m kuendelea mpaka 3m pana mfugaji mmoja wa Arusha miaka ya nyuma alimnunua nadhani haikupungua 60m kwa kipindi hicho ila gharama ya kupandisha ng'ombe kwake ipo juu sana inaendana na gharama za kumtunza huyo Boran bull..
 
Uzitowake si chini ya kilo 1,000 yaani tani moja.
Umenikumbusha Kikwete alikwenda Zimbabwe akashangaa kuona ng'ombe anauzito unaozidi tani moja, mpaka anaondoka madarakani hakuiwezesha nchi iwe na ng😱mbe wa aina hiyo, hapo ndipo utaona ziara zao huwa kwa manufaa yao tu.
Aliwaleta shambani kwake tu
 
Uzitowake si chini ya kilo 1,000 yaani tani moja.
Umenikumbusha Kikwete alikwenda Zimbabwe akashangaa kuona ng'ombe anauzito unaozidi tani moja, mpaka anaondoka madarakani hakuiwezesha nchi iwe na ng😱mbe wa aina hiyo, hapo ndipo utaona ziara zao huwa kwa manufaa yao tu.
Ng'ombe hao mbona tunao, yeye alisema ni mfugaji labda alinunua kwa ajili ya shamba lake
 
Ningewaomba kitu kimoja hii mifugo ipo ya aina tofauti tofauti, ila ni kweli unakuta Ngombe, Mbuzi ,kondoo nk wapo wa ukubwa tofauti tofauti shida inakuja sasa unapo mmiliki juu ya matunzo tunampatiaje ili kupata matokeostahiki? hii miradi kila tunapo taka kuianza inatupasa kufanya upembuzi yakinifu kwa kina, maana swala la malisho na madawa stahiki kwa muda maalumu hilo ndio changamoto kubwa sana kwetu.
Mfano utampokea Ngombe toka huko aliko toka akiwa na Kg kiasi flani na Maziwa labda huwa alikuwa anatoka kiasi flani je una mpatia chakula inavyo takikana na virutubisho vya kumtosheleza? na ukiambiwa sasa inatakiwa penistrep na vatamin na makolo kolo mengine kama laki 3 hivi wakati hajaanza kukupa hizo lita unatoa? Kwakweli ufugaji una hitaji uvumilivu na kujitojea sana.
 
Back
Top Bottom