chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Kijijini huku tunauziwa 500/ na bado hatunywi maziwa mara kwa marakutokana na bei kuwa kubwaDuuh,lita 1500??
Dsm tunauziwa 2000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijijini huku tunauziwa 500/ na bado hatunywi maziwa mara kwa marakutokana na bei kuwa kubwaDuuh,lita 1500??
Dsm tunauziwa 2000
Naam mkuu, ni mfugaji mtarajiwa.mkuu we ni mfugaji au ni mtazama video za wafugaji yutubu?
😀😀😀Kijijini huku tunauziwa 500/ na bado hatunywi maziwa mara kwa marakutokana na bei kuwa kubwa
ufugaji unalipa mkuu, juzi kati nilimtembelea bi mkubwa kijijini kauza dume mdogo tu kwa 1.5m, nilishangaa sanaNaam mkuu, ni mfugaji mtarajiwa.
Kupitia mada za humu JF na video za YouTube, nimeshashawishika kwa zaidi ya asilimia tisini. Huenda na mimi nikaanza kufuga muda si mrefu. Kuna vitu vichache bado nafuatilia, nikishajiridhisha, mradi unaanza mara moja.
Kuna motivation speaker mmoja alisema alianza kuuza fungu moja la mchicha Sasa hivi anauza michocha kupeleka nje ya nchi makontaina Kwa makontaina ya michicha yanaondoka Kila siku bandari ya Dar es salaam kwenda ulayaIla nyie motivation speakers huwa mnaongea vitu kiurahisi rahisi sana
📌🔨Inspired
Kwa ufugaji wa kisasa, kunyonyesha si lazima mkuu.Motivation
Ng'ombe haitaji kula majani tu ili kukamuliwa
Kuna kuacha kunyonyesha kwa kipindi fulani na kuna kipindi cha mimba na sidhani kama huwa ananyonyesha kwa mwaka mzima
Lakini mfugaji kasema anapata lita 60 kwa siku mkuu.hii hesabu haina uhalisia mkuu, utaingia chaka buree, halafu lita 60 kwa siku? sipingi ila kwa tanzania sidhani kama kuna ngombe wa kutoa hzo lita kwa siku.
Hata akitumia 20m kwa mwaka bado inalipa.ngombe mwenye uzito karibia tani moja unamtunza kwa 2m kwa mwaka? hyo hela haitoshi mkuu.
✅🙏🙏🙏Kwa maelezo yake yanauzwa almost yote mengine anajiuzia mwenynyewe kwenye miradi mingine ya mbwa..Ng'ombe inakamuliwa mara tatu sio mchezo kwa huku nilipo bei ya lita ni 2000×60=120000 kwa siku kwa ng'ombe mmoja kwa mwezi unaongelea Tsh 3,600,000/= kwa mwaka unaongelea Tsh 43,200,000/= endapo ngombe atakamuliwa mwaka mzima kitu ambacho ni nadra sana maana kuna majira huwa wanakaaaida ya kupunguza utoaji.
Mzee apewe pongezi sana ameamua kwakweli.
Hata akila milioni mbili kwa mwezi anastahili.anakula nusu pick up peke yake kwa siku.. kwa mwezi anaweza kuwa anakula almost laki 4 peke yake 😂
Kama ni kweli apongezwe👏👏👏kwa hyo jk yeye ana ng'ombe kama hao? kuna mwamba alishasema hapa jf kuna kwenye baadhi ya ranch za taifa tuna pure breed ya boran, ambao nao kwenye uzito wanatisha.
Mkuu, inaelekea huwapendi motivation speakers!Motivation speaker anakuambia ngombe anayekupa hzo lita unatumia only 2m kumtunza kwa mwaka, maajabu haya.
🙏🙏🙏Mkuu Nadhani Alinunua Binafsi Anafuga Msoga Huko
Pembezoni ni 1,000 au 1,500 sana sana 1,000 Lita 1 huko maeneo ya pembeni mwa mji huku katikati ya mji ni 2,000 mpaka 2,800/3,000 inategemea ulipoDuuh,lita 1500??
Dsm tunauziwa 2000
Hukupaswa kushangaa, bali kusikitika, na ingebidi, kuunda tume itakayomsaidia kujua sababu iliyopelekea ng'ombe kuuzwa bei ndogo hivyo.ufugaji unalipa mkuu, juzi kati nilimtembelea bi mkubwa kijijini kauza dume mdogo tu kwa 1.5m, nilishangaa sana
Kuna biashara zingine kichaaHapo bado hujalipa mkata majani + gharama ya usafirishaji
Mpe maua yake🙏Kuna motivation speaker mmoja alisema alianza kuuza fungu moja la mchicha Sasa hivi anauza michocha kupeleka nje ya nchi makontaina Kwa makontaina ya michicha yanaondoka Kila siku bandari ya Dar es salaam kwenda ulaya
Inawezekana mkuu. Ingia mtandaoni uone wsnavuonufaika wafugaji wa huko "dunianai"Kuna biashara zingine kichaa
Kuna mzee nilimtembelea ni mstaafu akaamua kuwafuga kwake kama watano
Nikamuuliza vipi lishe akasema nilikuwa nawaletea majani ila mwisho nikaajiri kijana nikanunua na Guta
Dogo alifanya mda tu akaondoka mazima na Guta hakurudi tena
Halafu mtu anakuambia hesabu za alinacha eti unapata 32m
Akifa je na huyo dogo nae
✅HATA ZAID MKUU