Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiangalia kwa upana yanayoendelea je hayawezi kuathiri Tanzania Royal Tour ?
Alituambia hivi hivi kipindi cha mwendazake.Juni 10 si ndio jana ambapo tuliambiwa na Yule Bwana kwamba hali ni tulivu?
Serikali ni taasisi ndani ya jamii hasa dola vyenye mamlaka ya kutawala na kufanya maazimio kwa wote katika eneo fulaniSerikali ni nani?!
The decisions so taken by the govt ought to be for the governed.Serikali ni taasisi ndani ya jamii hasa dola vyenye mamlaka ya kutawala na kufanya maazimio kwa wote katika eneo fulani
miaka ya nyuma ndio nn? leta hyo habari hapa na ushahidi wa tukioThe decisions so taken by the govt ought to be for the governed.
It's absurd that our government has often looked/appeared to be on the side of foreign investors.
Miaka ya nyuma tuliambiwa kuna wananchi walifukiwa kwenye mashimo ya machimbo ya dhahabu kulazimisha wampishe mwekezaji mgeni. Uliwahi kuisikia habari hii?!
Hicho kichwa cha habari eti kafa kwa kupigwa mshale mmoja tu. Mjomba ulitaka apigwe mishale mingapi ndio afeAskari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na kusisitiza kwamba kama serikali wanatambua uzalendo wa askari huyo.
Ametumia nafasi hiyo kuwataka wananchi wa Tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro kuwa watulivu na kusikiliza maelekezo ya serikali katika zoezi la uwekaji mipaka.
Wananchi wanatakiwa na Serikali kuhama katika eneo la Ngorongoro na kwenda kuishi Handeni, Tanga ambapo Serikali itawasaidia katika kuhama. Nia ikiwa ni kuhakikisha uhifadhi endelevu katika Hifadhi ya Ngorongoro.
Baadhi ya Wananchi wa Ngorongoro hawataki kuhama katika ardhi yao ya asili kwani Wanaishi hapo kisheria na Wanatambulika.
View attachment 2257198
Kama ni hivyo then she is worseRais anapewa daily briefing ya nchi nzima, ujinga kama huu kaandike kwenye forum za mazezeta wenzako wa Lumumba street.
Ni wazo zuri mkuuApewe eneo Zanzibar
Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na kusisitiza kwamba kama serikali wanatambua uzalendo wa askari huyo.
Ametumia nafasi hiyo kuwataka wananchi wa Tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro kuwa watulivu na kusikiliza maelekezo ya serikali katika zoezi la uwekaji mipaka.
Wananchi wanatakiwa na Serikali kuhama katika eneo la Ngorongoro na kwenda kuishi Handeni, Tanga ambapo Serikali itawasaidia katika kuhama. Nia ikiwa ni kuhakikisha uhifadhi endelevu katika Hifadhi ya Ngorongoro.
Baadhi ya Wananchi wa Ngorongoro hawataki kuhama katika ardhi yao ya asili kwani Wanaishi hapo kisheria na Wanatambulika.
View attachment 2257198
Acha uozo nchi ipo salama...na kama alisema kabla ya hilo tukio....Juni 10 si ndio jana ambapo tuliambiwa na Yule Bwana kwamba hali ni tulivu?
Kabla ya kuolewa aliitwa Gertrude Makanza. Mumewe ndiye anaitwa Mongela. Hayo maswali mengine kamuulize Mkuu wa MkoaRC Mongella ni mtoto wa Mama Getrude Mongela?
Baba yake John Mongela
(RC Mongella)wa arusha ,
anaitwa nani?
Mume wa Getrude mongela anaitwa nani?
mods usifute ujumbe huu tafadhali.