Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

FB_IMG_1654929256452.jpg
 
Haya hapa yanapewa na kuzawadiwa mbuga zetu mali asili za wa masai wakristo baada ya kujenga msikiti.
Kwanini marais waislamu huwa wanatutesa na Waarabu wao?.
Mwinyi aliuza Loliondo.
Kikwete Ngorongoro
Samia Ngorongoro..Loliondo..
Why???
 
Mura tatah! Maneno imekuwa mbaya.
Sasa huko mnako wahamishia gharama ya kuwabebea mifugo yao iko Kwa nani?
Je ujenzi wa makazi yao ukoje!
Au ndio wanaenda kutupwa hapo na hakuna pa kulishia mifugo yao. Matokeo yake ni vita ingine na waliopo jirani!
Serikali ifanye kwaanza taratibu za makazi halali kabla ya kuwahamisha. Kinyume cha hapo ni kuwaua wananchi wako.
Hakuna kitu ngumu kama kuhama ulikozoea miaka kwenda kuanza makazi.
Serikali iache ubabe.
Si walisema wamewajengea nyumba
Huko handeni?

Ova
 
Ukifuatilia matukio tofauti yanoyotokea katika nchi hii yenye watu zaidi ya million 60 pamoja na hili la sasa la Ngorongoro unashindwa kuelewa kama kweli miongoni mwa watu wote hawa inakuwaje hakuna watu wenye akili!!!
....au unajiuliza hawa wajinga wachache, wasaliti wamewezaje kujipenyeza na kufanya yote haya kwa muda wote. Maana haya mambo yako duniani kote lakini wengine huwa wanavumilia kwa muda mfupi tu ila hapa yameamua kuvmiliwa kwa muda wote!! Ni ajabu kabisa.

japo kwa mbali naanza kuelewa ni kwa nini watumwa hawakuwahi kuchukuliwa umasaini
 
Recklessness.

Ndio kwanza hata Rais wetu hana habari ya kinachoendelea.

Anajiandaa kwenda zake huko Oman.
Rais anapewa daily briefing ya nchi nzima, ujinga kama huu kaandike kwenye forum za mazezeta wenzako wa Lumumba street.
 
Back
Top Bottom