Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

Tukiangalia kwa upana yanayoendelea je hayawezi kuathiri Tanzania Royal Tour ?
 
Tukiangalia kwa upana yanayoendelea je hayawezi kuathiri Tanzania Royal Tour ?

Redemption of Africa ,The Royal Tour will help sell Tanzania as a global success
Source : Make Afrika Great
 
Serikali ni taasisi ndani ya jamii hasa dola vyenye mamlaka ya kutawala na kufanya maazimio kwa wote katika eneo fulani
The decisions so taken by the govt ought to be for the governed.

It's absurd that our government has often looked/appeared to be on the side of foreign investors.

Miaka ya nyuma tuliambiwa kuna wananchi walifukiwa kwenye mashimo ya machimbo ya dhahabu kulazimisha wampishe mwekezaji mgeni. Uliwahi kuisikia habari hii?!
 
miaka ya nyuma ndio nn? leta hyo habari hapa na ushahidi wa tukio
 
Majliw sijui kwanini ni mtu mwongo mwongo, dahhh ingekuwa ni nchi za wenzetu waziri mkuu mwongo asingeweza kudumu ofsn
 
Hicho kichwa cha habari eti kafa kwa kupigwa mshale mmoja tu. Mjomba ulitaka apigwe mishale mingapi ndio afe
 
Rais anapewa daily briefing ya nchi nzima, ujinga kama huu kaandike kwenye forum za mazezeta wenzako wa Lumumba street.
Kama ni hivyo then she is worse

Maana ukiacha kila taarifa alizonazo bado anafanya uamuzi wa kijinga.
 

RC Mongella ni mtoto wa Mama Getrude Mongela?​

Baba yake John Mongela​

(RC Mongella)wa arusha ,​

anaitwa nani?​

Mume wa Getrude mongela anaitwa nani?​

mods usifute ujumbe huu tafadhali.​

 

RC Mongella ni mtoto wa Mama Getrude Mongela?​

Baba yake John Mongela​

(RC Mongella)wa arusha ,​

anaitwa nani?​

Mume wa Getrude mongela anaitwa nani?​

mods usifute ujumbe huu tafadhali.​

Kabla ya kuolewa aliitwa Gertrude Makanza. Mumewe ndiye anaitwa Mongela. Hayo maswali mengine kamuulize Mkuu wa Mkoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…