Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

Sijafungua hiyo vedeo maana mb's hazitoshi.

Chanzo cha kifo cha huyo afende ni nini tena?.
Pole kwa familia yake.
 
Si Waziri Mkuu alisema hakuna makabiliano ya askari na wananchi? Na ile video ya Wamasai ikaitwa ni fake?

Sawa kuawa polisi, je ni wananchi wangapi wameuawa ? Maana hamuwezi kudanganya ni polisi wameuawa tu..

Huyu RC anasema kuna polisi kauawa ila hakuna mwananchi aliyejeruhiwa, how is it possible? 😂😂

Kwamba polisi walikuwa wakishambuliwa na hao Wamasai na wao wakakaa kimya?
 
... mbona WM jana Bungeni alisema hakuna mwananchi atakayehamishwa? Which is which.
 
hizo ni notes tu za darasani

unafahamu kuhusu mahusiano ya Migodi na jamii inayozunguka ?

labda tuseme mahusiano mazuri ya Viongozi wa kisiasa na Wawekezaji
Mwe

Mwekezaji yoyote kitu Cha kwanza nikua na mausiano mazuri na wananchi wanaomzunguka, unawekezaje katika sehem ya mgogoro?
Hapewe hifadhi ya bugiri period,
 
Back
Top Bottom