Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
Sio kila kutu cha kuletwa hapa ila niliandika tu kufurahia kilichofqnyika coz kama kuna watu waliokuwepo kwenye timu ya ulinzi wa serikali au binafsi wanaelewa vizuriHujasema alifanya nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila kutu cha kuletwa hapa ila niliandika tu kufurahia kilichofqnyika coz kama kuna watu waliokuwepo kwenye timu ya ulinzi wa serikali au binafsi wanaelewa vizuriHujasema alifanya nn
Tumeandika pale juu au labda turudie tena , Magufuli hayumo hata kwenye top 10Kwa mujibu wa mtoa mada, wafuatao ni watu watatu maarufu zaidi hapa nchini Tanzania
1: Julias Nyerere
2: John Magufuli
3: Tundu Lisu
Ukweli ni Kwamba , lengo la ziara ya Tundu Lissu na Chama chake , kupeleka Oparesheni 255 kwenye maeneo ya hifadhi ya Ngorongoro ilikuwa ni kuitangazia dunia unyama wanaofanyiwa Wamasai na serikali ya Tanzania , wa kuwahamisha kwenye maeneo yao mithili ya nguruwe ama mifugo mingine .
Lissu alifahamu Jinsi viongozi walivyohongwa pesa na kukubali kuwaswaga Wamasai na kuwapeleka Handeni , na alijua kwamba aking'ang'ania ziara ile angekamatwa , na kukamatwa kwake kungeiamsha dunia kuelewa zaidi kuhusu yanayotendwa Ngorongoro , Mtego huu umefanikiwa kirahisi sana !
Ikumbukwe kwamba Tundu Lissu ni MTU WA 3 KWA UMAARUFU NCHINI TANZANIA tangu kuumbwa kwa Taifa hili , Wa kwanza ni Julius Nyerere , sasa unapokamata mtu kama huyu kwa sababu za kijinga kama hizi zilizotolewa na Polisi wa Tanzania , unakuwa moja kwa moja umeiamsha dunia na kuifanya ianze kuitupia Jicho Jambo hili kwa nguvu zaidi .
Lissu alijua kila kitu ila aliamua kujitoa Muhanga ili kuokoa Wamasai , Yaani ni kama Vile Yesu Kristo alivyosulubiwa Msalabani ili kuwaokoa wanadamu , Kimsingi Lissu amefanikiwa Malengo yake kwa 100% , Hii ndio tofauti kati ya Akili ndogo na Akili kubwa .
6 na awamu ni ya 6Jeshi letu la polisi ni langapi kwa ubora duniani
Poyoyo tu yule taahira.Akili za Lissu ni nyingi sana mwaka 2020 alichokifanya kwa walinzi wake hasa wale binafsi walichukia mda kidogo baadae akaja kuwaambia kwa nini alifanya vile watu walibaki hoi,
ila Lissu ana marafiki pale kanisani waliobobea kwenye kulinda mageti 🤣🤣🤣🤣🫡🫡🫡🫡🫡
JPM hayumo hata 10 bora.Upo sahihi kabisa... Ni Julius Nyerere, JPM na wa tatu ni Lissu
Ngorongoro ni kwa WamasaiUnajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe.
Wamasai norongoro crater siyo kwao, wahamishwe tu.
Luseu na yeye anyee debe kwa uhujumu uchumi.
KishatolewaUnajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe.
Wamasai norongoro crater siyo kwao, wahamishwe tu.
Luseu na yeye anyee debe kwa uhujumu uchumi.
Mtu wa pili kwa umaarufu n nan?
Tengwe tuliyekupa kwa Bei Chee hakutoshi?Napenda kuchukua fursa hii adhimu kuwashukuru Watanganyika kwa bandari zenu zote, nawashukuru kwa kunipa misitu yenu yote, nawashukuru kwa kunipa Ngorongoro, nawashukuru kwa kunipa KIA nawashukuru kwa kunipa shirika la posta.
Mimi ntahakikisha nawaletea tende za madina kwa bei nafuu sana.
Litakua la 1108Jeshi letu la polisi ni langapi kwa ubora duniani
Oh Sawa mkuuTumeandika pale juu au labda turudie tena , Magufuli hayumo hata kwenye top 10
Usaliti wa Lissu kwa taifa lake utaisha lini ?!!!Ukweli ni Kwamba , lengo la ziara ya Tundu Lissu na Chama chake , kupeleka Oparesheni 255 kwenye maeneo ya hifadhi ya Ngorongoro ilikuwa ni kuitangazia dunia unyama wanaofanyiwa Wamasai na serikali ya Tanzania , wa kuwahamisha kwenye maeneo yao mithili ya nguruwe ama mifugo mingine .
Lissu alifahamu Jinsi viongozi walivyohongwa pesa na kukubali kuwaswaga Wamasai na kuwapeleka Handeni , na alijua kwamba aking'ang'ania ziara ile angekamatwa , na kukamatwa kwake kungeiamsha dunia kuelewa zaidi kuhusu yanayotendwa Ngorongoro , Mtego huu umefanikiwa kirahisi sana !
Ikumbukwe kwamba Tundu Lissu ni MTU WA 3 KWA UMAARUFU NCHINI TANZANIA tangu kuumbwa kwa Taifa hili , Wa kwanza ni Julius Nyerere , sasa unapokamata mtu kama huyu kwa sababu za kijinga kama hizi zilizotolewa na Polisi wa Tanzania , unakuwa moja kwa moja umeiamsha dunia na kuifanya ianze kuitupia Jicho Jambo hili kwa nguvu zaidi .
Lissu alijua kila kitu ila aliamua kujitoa Muhanga ili kuokoa Wamasai , Yaani ni kama Vile Yesu Kristo alivyosulubiwa Msalabani ili kuwaokoa wanadamu , Kimsingi Lissu amefanikiwa Malengo yake kwa 100% , Hii ndio tofauti kati ya Akili ndogo na Akili kubwa .
View attachment 2745271
Mbowe yupo namba ngapi huko Chadema.?Magufuli hayumo hata kwenye Top 10
Jikite kwenye madaMbowe yupo namba ngapi huko Chadema.?
[emoji2956]Kumbe ndio maana anaitwa kibaraka wa mabeberu [emoji15]
na kumbe ndio maana watoto wa mjini waandamizi wenzie wa kitaifa wanajitenga nae???[emoji15]
kumbe yeye ana Malengo ya kimataifa na kidunia zaidi na sio ya Taifa lake [emoji15]?
nimeamini katikati siasa akili kumkichwa [emoji12]
Asant ndugu kuthibitishia hayo machache yalokua yakichanganya waTz kwamba huyu anafanya haya kwaajili ya waTz au kuna waliomtuma kutoka ng'ambo.
So umeeleweka vizuri sana kwamba ,akikwama kitaifa first destination ni abroad in adv.Robert Amsterdam voice.
Na actually I hope last night alikesha kusend daily report kwaa picha na video nyingi sana ili kuongezewa financial aids zaidi lakini kuwaonyesha mabeberu kua anafanya kazi walizo mtuma kwa bidii licha ya kutengwa na wenzie na kudhalilika.[emoji848]