Ngorongoro: Tundu Lissu atimiza malengo yake


Unajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe.

Wamasai ngorongoro crater siyo kwao, wahamishwe tu.

Lussu na yeye anyee debe kwa uhujumu uchumi.
 
Poyoyo tu yule taahira.

Kwa wajinga wenzake lazima mumuone ana akili. Si mnajulikana kondoo mliokosa wachungaji.
 
Tu Tengwe tuliyekupa kwa Bei Chee hakutoshi?
 
Usaliti wa Lissu kwa taifa lake utaisha lini ?!!!

Huko nyuma aliiandama serikali juu ya raslimali za MADINI na kudai kuwa MAKAMPUNI ya kiwekezaji yanatunyonya.....

Utawala wa JPM ukaja na makinikia na kuongeza mrahaba wa mapato ya madini ,Tundu Lissu akawa wakili wa MAKAMPUNI HAYO YA UWEKEZAJI.....[emoji1787][emoji1787]

Huyu ni mtu wa kubadilikabadilika....

Kubadilika huko ni kwa MASLAHI ya akina nani ?!!!



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unafiki wa Tundu Lissu....

Ni yeye aliyesema ujenzi wa bwawa la kufua umeme Mwalimu Nyerere litaharibu MAZINGIRA....litaharibu turathi ya dunia(selous)....

Yaliyofanywa Ngorongoro ni kuyalinda hayo MAZINGIRA....kinyume chake anang'aka.....[emoji1787][emoji1787]

Kweli TL ni NDUMILAKUWILI wa siasa za matukio......

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe Tusekelege hebu uone aibu....

Unachekesha walionuna....

Yaani taifa hili lenye watu maarufu wengi unamtaja TL kweli ?!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Kweli nimeamini CHADEMA ni chama kisicho na malengo ya ujumuishi wa maslahi msingi wa taifa hili zaidi ya UMIMI.....

Duuuh unajitia aibu wewe chawa wa komredi Mbowe [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…