Unashangaa nini, ndiko wanaume wa siku hizi walikofikia 😁
😂nime grow
Aiseee! Kwahiyo hili nalo linapigwa mitiii (in Dudu baya's voice)Unashangaa nini, ndiko wanaume wa siku hizi walikofikia 😁
Mweh mweh mwehMwanaume kua na ngozi nzuri sio kosa hata kidgo, infact, mwanaume kua na ngozi laini inasaidia hata ukimshika mwenza wako, sio unamshika kama vile anakwanguliwa na msasa.
Am so proud of my skin kwakweli, situmii vipodozi ila nime grow. Vijana, tunzeni ngozi, Kuwa na ngozi nzuri hakuondo uanaume, ni ishara ya kujipenda na afya njema.
Mtu akiliandikia riwaya swali lako hili, waalah linaweza kuleta hadithi 'ndivyo sivyo' yaani tofauti kabisa na mantiki ya swali ulilomuuliza.Beautiful boy kwenye ubora wako..!! 😹
Hasu ulipotolea wapi?
Vipi wadada na wakaka wameacha kukusumbua kazini kwa uzuri wako?
Kivipi mkuu?Mtu akiliandikia riwaya swali lako hili, waalah linaweza kuleta hadithi 'ndivyo sivyo' yaani tofauti kabisa na mantiki ya swali ulilomuuliza.
Ulienda mpokea yule mrembo mwenzio?Mwanaume kua na ngozi nzuri sio kosa hata kidgo, infact, mwanaume kua na ngozi laini inasaidia hata ukimshika mwenza wako, sio unamshika kama vile anakwanguliwa na msasa.
Am so proud of my skin kwakweli, situmii vipodozi ila nime grow. Vijana, tunzeni ngozi, Kuwa na ngozi nzuri hakuondo uanaume, ni ishara ya kujipenda na afya njema.
Makebo naona umejipiga picha utuonyeshe mguu wako 😁