Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Iko'ivii?Kivipi mkuu?
Ila nyuzi zao huachi,unazifurahia kweli kweli na lazima uache comment πMibumunda imejaa humu
Ohh kumbe?Iko'ivii?
Mwanaume hajisifii urembo kiivyo mkuu.
Hapo katuvugumizia jiwe lake gizani kusikiliza milio.
Angelikujibu swali lako, hata majibu mepesi ya 'ndiyo/hapana' ningemsoma vizuri sana.
mleta mada ni mwanaume?Unashangaa nini, ndiko wanaume wa siku hizi walikofikia π
kipa naye katoka ,kaenda kushambulia,goli liko waziTimu yote imepanda kabaki kipa tu..
aisee,Mwanaume kua na ngozi nzuri sio kosa hata kidgo, infact, mwanaume kua na ngozi laini inasaidia hata ukimshika mwenza wako, sio unamshika kama vile anakwanguliwa na msasa.
Am so proud of my skin kwakweli, situmii vipodozi ila nime grow. Vijana, tunzeni ngozi, Kuwa na ngozi nzuri hakuondo uanaume, ni ishara ya kujipenda na afya njema.
Hongera kaka mrembo kwa kuwa na ngozi laini #YBWYBMwanaume kua na ngozi nzuri sio kosa hata kidgo, infact, mwanaume kua na ngozi laini inasaidia hata ukimshika mwenza wako, sio unamshika kama vile anakwanguliwa na msasa.
Am so proud of my skin kwakweli, situmii vipodozi ila nime grow. Vijana, tunzeni ngozi, Kuwa na ngozi nzuri hakuondo uanaume, ni ishara ya kujipenda na afya njema.
Kuna wahuni wanajifanya kupinga kupanda ila wapo na kipa sio kwa nyuzi hizi.kipa naye katoka ,kaenda kushambulia,goli liko wazi
sasa naamini huku nako wasio na migongo wapo, na hv ni ID Fake kazi ipoKuna wahuni wanajifanya kupinga kupanda ila wapo na kipa sio kwa nyuzi hizi.
Yuko very,anakwambia ame grow.Beautiful boy kwenye ubora wako..!! πΉ
Hasu ulipotolea wapi?
Vipi wadada na wakaka wameacha kukusumbua kazini kwa uzuri wako?
Wapo na wahuni wanaruka nao..sasa naamini huku nako wasio na migongo wapo, na hv ni ID Fake kazi ipo
Timu haipo na kipa hayupo!..πTimu yote imepanda kabaki kipa tu..