Ngozi wanayoihangaikia kinadada kwa vipodozi, mimi Mungu kanipa bure

Mwanaume unakuwaje na ngozi laini na Dada zako je, watakuwaje? Mwanaume lazima uwe na ngozi na mwili mgumu
 
Huwa nasema...
Gen Z ndicho kizazi kibovu sana.

Angalia huyu dogo anajisifu ngozi laini
 
Hatukatai ngoz nzuri muhimu na ni ishara ya kujipenda ila kwa mwanaume mpk kuja kuvimbia na kujigamba kuhusu ngoz yako kuna mahala kuna tatizo either mgongo ama ?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…