Ngozi wanayoihangaikia kinadada kwa vipodozi, mimi Mungu kanipa bure

Mwanaume mlaini mwenye ngozi nyororo.
Mleta uzi ana hoja asikilizwe....πŸ™„
 
Dudu baya njoo huku. Kuna muujiza umetokea
 
Beautiful boy kwenye ubora wako..!! 😹
Hasu ulipotolea wapi?
Vipi wadada na wakaka wameacha kukusumbua kazini kwa uzuri wako?
amni nakuambia hata wewe ni bonge la boy lenye ngozi nzuri jf hakuna demu
 
amni nakuambia hata wewe ni bonge la boy lenye ngozi nzuri jf hakuna demu
Hujakosea, wewe demu peke yako JF na ulivyo na kishundu awww πŸ”₯πŸ”₯
Niletee nikikaze kishundu iko miss JF
 
Naona upo bury kujilinganisha kati yako na wanawake wa mtaan kwenu komaa ndugu mashindano yajayo ya miss grand utaenda kushiriki
 
"Eti nime glow" heee nyiee hata kama .....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€ΈπŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…