TANZIA Nguli wa Soka Duniani, Mbrazili Pele afariki dunia

R.I.E.P LEGEND
 
Wengi wenu humu wakati pele anacheza mpira mlikuwa hamjazaliwa mmeishia angalia clip zake tu you tube...
 
Za asubuhi wakuu,

Anaitwa Adson Arantes do Nascimento aka "Pele". Kwa wale wafuatiliaji wa mambo ya mpira wa miguu bila shaka nadhani watakuwa wanamfahamu fika gwiji, mfalme na bingwa huyu wa mpira wa miguu wa muda wote ambae aliwahi kujizolea umaarufu kutokana na umahiri wa uchezaji wake na ufungaji mabao wa aina yake awapo uwanjani.

RIP Pele.
 
Hi habari hipo tiyari
 
tatizo huko anakoenda sasa! hawaujui mpira wanataka ibada! huku ameondoka shujaa ila sasa kisago atakacho kumbana nacho huko! amewafanya waache kwenda kusali washinde kutwa kwenye luninga wakiangalia pasi na tobo za maudhi ,mungu anauchukia sana mpira,nikama sanamu yenye nguvu sana kwa sasa hapa duniani namuonea huruma maana jehanum ndio mahala pake!
 
Duh!Aisee!Kumbe kutazama mpira wa miguu ni dhambi?
 
Umejuaje kuwa anaenda kuchomwa Moto?
 
Wa jina lala salama....
Ok.Kumbe yanafanana?Huwa namangamanga jinsi majina yanavyoandikwa muda mwingine.
-Edson-Adson
-Lucy,Lucia-Lusi,Lusia
-Rafael,Raffaelle,Ra4-Raphael,Raphaela
-Ronald-Ronaldo
Allan-Allen etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…