CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,967
- 9,544
Watanzania tusha zoea biashara za kijamaa sana, Mfano ukiwaambia huku Arusha unakuta kilo ya nyama ng'ombe kuna sehemu kilo ni sh 35,000/ nazani mtaandamana.Labda kama kwato na utumbo navyo utapata wanunuzo wake kwa bei ya kitalii
Sa mtu anakutapalije kiaje an! Em acheni fikra mgando ishu ya nguruwe ni faida kuliko ata ufugaji wa kuku! may be! so jamaa kaongea kitu apo! Ila inatakiwa uwe na mzigo kuhudumia wale viumbe wanakula sana! mimi mkuu Imani rubaba siji wasap ila wazo lako ni zuri sanaa! hongera Kwa kunikumbusha hii kitu! ntaliwekea bajeti next eaPole sana ndugu, itakua umekosea njia
Kama ni hivyo basi hata kuku mmoja wa kisasa anaweza akakuingizia hadi laki mojaWatanzania tusha zoea biashara za kijamaa sana, Mfano ukiwaambia huku Arusha unakuta kilo ya nyama ng'ombe kuna sehemu kilo ni sh 35,000/ nazani mtaandamana.
Njoo Nanenane Arusha mwezi huu uone bei za hao nguruwe
Mwenye jamii forum mwenyewe anakula nguruwe, ukiona upendi nguruwe si utoke humuWe jamaa ni kafiri wa mwisho humu..
Kweli na akili yako unakija shawishi watu kuhusu nguruwe.
Shame upon you
Toka wewe na ukafiri wako..Mwenye jamii forum mwenyewe anakula nguruwe, ukiona upendi nguruwe si utoke humu
Poor brainToka wewe na ukafiri wako..
Unakula ngurue seriously
We jamaa ni mkriato au musilamPoor brain
AuWe jamaa ni mkriato au musilam
Wewe binaadamu achana na nguruwe
Nguruwe ni najisi
Au mpagani
Sio gafula kula ngurue ni ukafiri mkuuMbona gafla mkuu
UmejuajeSio gafula kula ngurue ni ukafiri mkuu
Mwenyewe tuu anaonekana mbonaUmejuaje
Mwenyewe tuu anaonekana mbona
Nimeanza ufugaji miaka mitatu iliyopita kwa kuanza na jike moja. Leo nina majike matano na madume mawili. Ninazalisha vibwagala na kuviuza.Hizi bei mkuu kamba hiyo?
🚮Wakipigwa unawasaidia kutafuta pesa? acha ujinga
Usinipangie cha kupost nguruwe weweMlitaka a present vipi? aseme nguruwe wa aina hio ukimfuga unakula hasara? mnataka negative story tu humu, Forum isha haribiwa na wapumbavu, kupingana kwa hoja hakupo sasa ni ujinga ujinga tu.