Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
AstakafillahWala HAYAWANI hawataki kusikia!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AstakafillahWala HAYAWANI hawataki kusikia!!
Nimekuuliza swali.Mbona kama umeleta uzi afu unajijibu? Ndio maana mods wamefuta wamegundua kuna malumbano yasiyokuwa na tija. Wewe kama huli tulia, waachie wenyeji wahangaike nae.
Ule uchafu, unajisi wao unafanana.Kwa hiyo nguruwe ni sawa na ndege bwana afya?
iko hivi kulingana na sehemu ulipokulia basi kutaalisi nini unakula na nini huli....Weka dini pembeni,
Hivi nguruwe anafaa Kwa chakula Kweli?
IPO siku utaonja nyama ya mbwa!!
Tuwe na limit jamani!!
Laaana tulaahtazama kanavyovutia.View attachment 2982921
Kwa hiyo tumle au tusimle nguruwe?Ule uchafu, unajisi wao unafanana.
Leo KAZI ninayo,iko hivi kulingana na sehemu ulipokulia basi kutaalisi nini unakula na nini huli....
popo, chura, panya, nyoka, mijusi, wadudu wa ajabu ajabu wanaliwa kulingana na eneo mtu alipokulia kwahiyo nguruwe ni nyama safi kabisa
hadza wanakula mpka nyani unakuja kusema limit hizo limit jiwekee ww na familia yako ila usitake kila mtu akaacha kula nyama safi..... kwa taarifa yako uarabuni wanaongoza kwa kununua damu ya kitimoto na kuila sasa jiulize aliekuletea dini akakupa masharti yeye anayapuuza na kula mzigo tena anaanza na damu alafu anapikia wese la nguruwe...
Weka mbali kabisa.Kwa hiyo tumle au tusimle nguruwe?
Kula nguruwe wewe kwa afya yakoWeka mbali kabisa.
kwamba hujui kisusio na namna ya kutengeneza au mpka waarabu wakisema mle ndio na nyie mtakula mkuu nakushauri usijinyime ukafika huko ukakuta mlidanganywa itakuuma sana na ukute unakula ila mbele za watu unaisema vibayaLeo KAZI ninayo,
Hadi Damu!!, m huzi wa Damu?
AFYA Gani sasa 😀, hiyo minyoo yenyewe madaktari wanasema haifi!!Kula nguruwe wewe kwa afya yako
Damu hailiwi, ndani ya Damu Pana uhai.kwamba hujui kisusio na namna ya kutengeneza au mpka waarabu wakisema mle ndio na nyie mtakula mkuu nakushauri usijinyime ukafika huko ukakuta mlidanganywa itakuuma sana na ukute unakula ila mbele za watu unaisema vibaya
kwani waliowaletea dini mnawaonaje wakisema alawakubaru nn kinatokea.....Damu hailiwi, ndani ya Damu Pana uhai.
Ukila Damu, Roho ya uuaji na hasira itakuingia, waulize maasai na wakurya.
Tunatofautiana buda;Laaana tulaah
Muacheni my wetu....nyama inayoongoza Kwa utamu duniani no yeyeMods, kwanini mmefuta huo Uzi?
Hakuna swali la kijinga!!
Tafadhalini sana, hata kama mnatumia hii kitu, acheni ijadiliwe🙏
SWALI: Ikiwa nguruwe ni HAYAWANI, ni sawa kutumia Kwa chakula?
Karibuni 🙏
Maki my dear ☹️My wetu kwenye vita nyingine tena...
Atashinda.
Ndio uhayawani wenyewe.Na kuna binadamu wengine wanatupa watoto wao chooni/wanawaua
Hii imekaaje?