Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

Kwanza Nguruwe siyo hayawani! Ni mnyama wa kawaida anayeliwa vizuri tu.
Hakuna kisicholiwa labda nyama ya mtu tu.
Mwisho usichokula wewe wengine wanakula.
 
Salaam, shalom!!

Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma,

Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio, aina Fulani ya ukichaa, mbuni akiwa Mmoja wapo,

Ikiwa mnyama huyu KWELI anaangukia kundi la wanyama wasio timamu , ni sahihi kuwatumia Kwa chakula?

Na Kuna uadui Gani kati ya nguruwe na mapepo?

Maana (Luke 8:30-32) nguruwe akaona kuliko kukaliwa na mapepo, akaona Bora ajitose Baharini afe.kuliko kumilikiwa na mapepo.

NB: Si Kila kitu kinafaa kula, nyamafu/mzoga kwanini hatuli hata kama hatujazuiwa?

Akili itumike, maana mwanadamu ni kiumbe mwenye akili.

Swali: Nguruwe ni HAYAWANI WA NCHI?

Karibuni 🙏
Ukiambiwa either ule nguruwe au ule mzogo utachagua nini?
 
Thread za nguruwe zinakuja na kupotea. Safari hii mpaka tuwamezeshe nguruwe
 
Kunguru ni tofauti na ndege John au BWANA AFYA.

Wewe unaona ni sahihi kula chochote bila limit?
Na konokono je? Mimi naona ni sahihi kulingana na tamaduni za watu hisika machaguo yao
 
Back
Top Bottom