hapo ndo umenithibitishia..?kama unaamini kuwa yupo basi nakusihi uamini na maandiko ya vitabu vyake vyenye mafundisho ya uumbaji wa kila kitu.
lakini kama hauamini basi ni ngumu sana mkuu. ila mambo ya imani yanahitaji sana kufikiria beyond. jiulize kwanini hatuwezi kutengeneza damu tukaongezea watu mahospitalini instead tunahimiza hatu wachangie ili ipatikane ya kuongezea. it means yupo aliye itengeneza ambae elimu yake hakuna anaeijua zaidi yake ndio maana hata hao wazungu wanasayansi wanao aminiwa hawaijui hadi leo.
Hakuna mtu mzima ambaye hajui square root ni nini akaweza kuwa sehemu ya huyo mtoto?Unazungumzia Unasibu wa lugha kujenga hoja ya kupinga uwepo wa Mungu? Kwanini umtumie mtoto na si mtu mzima? Nawe huna tofauti na wamuhusishae Mungu na IMANI za kusadikika.
Ubaya ni kinyume cha uzuri wa upendo niliokuelezea hapo juu, unatoka katika mambo yanayotoa matokeo ya ubaya huo.Ubaya ni nini kwako na unatoka wapi? Uzuri ni nini kwako na unatoka wapi pia?
Hivi uliposema mtoto ulikuwa na tafsiri ya binadamu mwenye umri mdogo? Kwangu mtoto ni yule apokeae jambo bila kuhoji. Kwahiyo huyo mtu mzima asiyejua square root ni nini halafu akaambiwa tu na kuamini, kuwa haiwezi kuwa kubwa kuliko namba twende, huyo ni mtoto tu. Kiranga unachoendeleza sasa ni ubishi, ni kweli kwako kujua kunaweza kuja tu bila ushahidi?Hakuna mtu mzima ambaye hajui square root ni nini akaweza kuwa sehemu ya huyo mtoto?
Nikuulize swali.
Unahitaji kujua gavana wa jimbo la New York la Marekani ni nani ili ujue kwamba si Mtanzania anayeitwa Paul Makonda?
Unakubali kwamba huhitaji kujua jibu sahihi ili kujua jibu fulani si sahihi?Hivi uliposema mtoto ulikuwa na tafsiri ya binadamu mwenye umri mdogo? Kwangu mtoto ni yule apokeae jambo bila kuhoji. Kwahiyo huyo mtu mzima asiyejua square root ni nini halafu akaambiwa tu na kuamini, kuwa haiwezi kuwa kubwa kuliko namba twende, huyo ni mtoto tu. Kiranga unachoendeleza sasa ni ubishi, ni kweli kwako kujua kunaweza kuja tu bila ushahidi?
Sihitaji kujua gavana ni nani, ila kwavile najua Paul Makonda ni nani, nitahitaji kujua sheria ama vigezo vya kuwa gavana wa New York ni vipi, ili nijue KWANINI NI/SI Makonda.
Unafurahisha ndugu yangu, upendo au uzuri ni kutokuwapo kwa ubaya, na ubaya nao ni kinyume cha uzuri.Ubaya ni kinyume cha uzuri wa upendo niliokuelezea hapo juu, unatoka katika mambo yanayotoa matokeo ya ubaya huo.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Kabisaaaaa, ila tu kama unajua msingi wa swali ni nini! Yaani ni lazima ujue msingi wa jibu ni upi, kama huna huo msingi wa jibu kukubali kwako ama kukataa kwako ni IMANI zako tu zao la hulka zake, huwezi kutetea kwanini unakataa ama unakubali.Unakubali kwamba huhitaji kujua jibu sahihi ili kujua jibu fulani si sahihi?
Msingi wa swali ni nini?Kabisaaaaa, ila tu kama unajua msingi wa swali ni nini! Yaani ni lazima ujue msingi wa jibu ni upi, kama huna huo msingi wa jibu kukubali kwako ama kukataa kwako ni IMANI zako tu zao la hulka zake, huwezi kutetea kwanini unakataa ama unakubali.
Ipi ni tofauti kati ya kujua na kuamini?Msingi wa swali ni nini?
Katika framework gani?Ipi ni tofauti kati ya kujua na kuamini?
Je, hujui tunachotafuta hapa au?Katika framework gani?
Hiyo sayansi ni ya upotoshani. naweza kulinganisha na fikra za Darwin zinazopumbaza watu mpaka leo. Mola pekee ndiye alie umba Dunia na vilivyomo kwa siku sita na ya saba akapumzika.
kwa kauli yake "Kun Fayakun" yaani kuwa na kikawa.
wanasayansi muda mwingine aisee ni changamoto sana.
Hujajibu swali.Je, hujui tunachotafuta hapa au?
Taratibu ndugu, usipanic. Embu onesha tu jibu la post tajwa hapo juu, tutajua nani hasa mwenye kuhamanika.Kuna siku niliwahi kuacha kujibu post yako? Unaweza kunipa mfano huo?
Au unahamanika tu?
Labda tu ukatae jibu, ila nipichokujibu ndicho kinachopaswa kwa aina ya swali lako.Hujajibu swali.
Hakuna upumbavu mkubwa kama binadamu kuhoji juu ya uumbaji wa mungu!!....ni sawa na sisimizi atake kuuumiza kichwa na kuhoji juu ya ni jinsi gani binadamu ameweza kupeleka chombo kwenye sayari ya pluto,hakika hatapata jibu!!!!
Wapi nime panic? Unanjaje kwamba nime panic? Unajuaje kwamba wewe hujapanic kuniona mimi nime panic?Taratibu ndugu, usipanic. Embu onesha tu jibu la post tajwa hapo juu, tutajua nani hasa mwenye kuhamanika.