Nguvu inawezaje kutengeneza object?

Nguvu inawezaje kutengeneza object?

Finally at least someone with a scientific base.

Mtu kama wewe hata nikiamua kubishana nawe najua tutaweza kuulizana maswali deep.

Quantum physics is so fascinating, especially its counterintuitive nature.

Mara nyingine huwa napata tabu hata kuanza kuigusia.

Utaanzaje kuongea quantum physics na mtu ambaye haelewi kwamba unaweza kujua 5 si square root ya 2 bila kujua square root ya 2 ni nini, ikiwa unajua square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2 na 5 ni kubwa kuliko 2 ?

Umeandika

Kisha ukaandika

Unajuaje hili ni kweli na si illusion tu pia? Huoni kwamba kuna contradiction kati ya habari ya kwanza na hii ya pili?

Utajuaje illusion inaishia wapi na reality inaanzia wapi?

Thanks. Mwishoni nilikuwa najaribu kuweka assumptions. Sio kwamba ni fact. I knows everything humans perceive is an illusion. We are projecting our own reality and believing its real.
 
Ilihali nakubaliana na wewe katika baadhi Ya mambo unayosema kuna Mengine sikubaliani nawe

1. Sayansi na Ulimwengu si mazingaombwe ...kila kitu kipo mathematically arranged.Hakuna ajali, ndio maana leo unaweza kuelezea ulimwengu na matter kama ulivyoeleza hapo juu...suala la mazingaombwe linakuja tu pale tunaposhindwa kueleza jambo kwa wakati huo. imagine kumuelezea mtu hayo uliyosema hapo juu miaka 200 iliyopita!.

2. Kama kila kitu ni "nguvu" moja Ya muumbaji, nini basi kilileta "nguvu" Ya uhai?...kwa nini nguvu hii haiwezi kuhamishwa kwa maada zisizohai? Ilhali mifumo mingine Ya nguvu inawezekana? Mfano joto, n.k

Asante.

1. Je time ni kweli? Ni kweli kuna past, present and future? Ni kweli objects zipo kama tunavyoona? Hata ningesema logic hii miaka 5000 iliyopita kwa Asia wangenielewa.

Picha unayoitazama unaona kama vile unaangalia picha kumbe unaangalia projection iliyotengenezwa akilini na sio actual thing unachokiona nje yako. Then What is reality?

2. Uhai ulianza kwa formular. From a single cell (uhai wa cell moja) na kuwa evolved mpaka wanyama na mimea. First life form ilikuwa ni chemical formula. Proteins za Amino acid na phosphoric acid ndio ziliform first Rna.

Kwa kifupi ili nisikufanye ushindwe kuelewa ni kuwa life haikuanza kwa kuumbwa kwa kiumbe moja kwa moja wala haikuanza duniani. Evidences ya fossilized bacteria ilishawahi kupatikana kwenye meteorite. Life ni condition inayoanza kwa combination ya hali mbalimbali. From simple life form ambayo ilikuwa ni chemical formular zinazoreact na mazingira na kuweza kutengeneza Rna katika kujigawanya. Na bahari ndio makazi ya first life form kwa duniani.

ISoma hii link utaelewa swali lako la pili, ni swali zuri ambalo ukielewa utafunuka zaidi kuona how life is

Evolution of cells - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Ndiyo.

Unaweza ukawa hujui square root ni nini.

Unaweza kuambiwa tu "square root ya namba ni lazima iwe ndogo zaidi ya hiyo namba". Usijue chochote kingine kuhusu square root.

Ukaambiwa 5 ni square root ya 2.

Ukasema kwa kufuata kanuni ya "square root ya namba ni lazima iwe ndogo zaidi ya hiyo namba" ukajua kwamba 5 haiwezi kuwa square root ya 2.

Hujui square root ni nini. Hujui square root ya 2 ni nini. Lakini unajua square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2.

Hilo tu linatosha kukujuza kwamba 5 si square root ya 2.
Duh, Mkuu unajikanganya sasa. Kwahiyo unataka tuukuelewe kwa IMANI yako juu ya majibu ya kuambiwa. Hakuna mtu atakayekuelewa Ukimwambia square root ya namba haiwezi kuwa kubwa kuliko namba yenyewe, kwasababu atahoji KWANINI? Na ukishamjibu tayari atakuwa anajua square root ya mbili ni nini. Mfikirie atakayeambiwa pasi kujua square root ni nini, kuwa square root ni lazima iwe kubwa kuliko namba yenyewe, na akaambiwa square root ya 4 ni mbili, je jibu lake la kuambiwa litaeleweka?
 
Duh, Mkuu unajikanganya sasa. Kwahiyo unataka tuukuelewe kwa IMANI yako juu ya majibu ya kuambiwa. Hakuna mtu atakayekuelewa Ukimwambia square root ya namba haiwezi kuwa kubwa kuliko namba yenyewe, kwasababu atahoji KWANINI? Na ukishamjibu tayari atakuwa anajua square root
ni nini. Mfikirie atakayeambiwa pasi kujua square root ni nini, kuwa square root ni lazima iwe kubwa kuliko namba yenyewe, na akaambiwa square root ya 4 ni mbili, je jibu lake la kuambiwa litaeleweka?
 
Thanks. Mwishoni nilikuwa najaribu kuweka assumptions. Sio kwamba ni fact. I knows everything humans perceive is an illusion. We are projecting our own reality and believing its real.
At some point, we have to adopt a practical framework and avoid analysis paralysis, as long as we are comfortable with the margin of error for our practical needs.We do this everyday. Everytime you plant your foot on the floor/ ground, you are making a calculation that the ground/ floor will be there to support you. The chances of the floor/ ground collapsing under normal circumstances (unless you live in a shoddy treehouse, which is not normal) are ridiculously minuscule.

I will give you an example.

Nobody knows the precise value of the mathematical constant pi (the ratio of a circle's circumference to it's diameter) it is approximated as 3.14159, but this ratio in principle never ends.The actual pi goes on and on. But does that mean we cannot use pi to build bridges and stadia? Of course we can and have. We just adopt the right amount of precision we need and ignore the remaining decimal places which will be of no consequence for our practical purposes. We choose a framework of reality we are focused on (a bridge or stadium that will stand for 200 years for example) and the right precision we need to make this happen ( five decimal places) and that serves our purpose. We can investigate the value of pi to the billionth decimal place for the sake of mathematical curiosity, or to design better machines that give random numbers (the decimals in pi are random) etc. But for building bridges the 5 decimal places as stated, are sufficient.

So even though we are slaves of illusions (e.g, all matter is 99.9 empty space due to the nature of the atom, yet we have the illusion of things being solid), we do not and do not have to keep this in consideration when we go to the grocery store to buy produce.Why? Because this fact is only valid at the quantum level, at the large scale most people do not know that only 0.01 percent of the atoms that makes them up is not empty space.

So we have to keep things in perspective.
 
What I like kuhusu hizi kind of platform za viumbe kuntu kuna watu wa akili kubwa Mara nyingi ukipitia nyuzi kama hizi lazima utakutana na watu wenye akili kubwa.
 
Wee kweli kavu wakati wazee wako wanaenda kusali chini ya Mbuyu ni sayansi gani ilitumika kama unaleta mada za kipuuzi huku ziache huko na mkeo
 
Duh, Mkuu unajikanganya sasa. Kwahiyo unataka tuukuelewe kwa IMANI yako juu ya majibu ya kuambiwa. Hakuna mtu atakayekuelewa Ukimwambia square root ya namba haiwezi kuwa kubwa kuliko namba yenyewe, kwasababu atahoji KWANINI? Na ukishamjibu tayari atakuwa anajua square root ya mbili ni nini. Mfikirie atakayeambiwa pasi kujua square root ni nini, kuwa square root ni lazima iwe kubwa kuliko namba yenyewe, na akaambiwa square root ya 4 ni mbili, je jibu lake la kuambiwa litaeleweka?
Unajuaje kwamba atakuhoji "kwa nini" ?

Ni lazima kila anayeambiwa kitu kuhoji kwa nini?

Mbona wewe hujahoji kwa nini Mungu kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Mbona mimi nimekupa jina langu Kiranga na hujahoji kwa nini Kiranga na si Kipanga?
 
At some point, we have to adopt a practical framework and avoid analysis paralysis, as long as we are comfortable with the margin of error for our practical needs.We do this everyday. Everytime you plant your foot on the floor/ ground, you are making a calculation that the ground/ floor will be there to support you. The chances of the floor/ ground collapsing under normal circumstances (unless you live in a shoddy treehouse, which is not normal) are ridiculously minuscule.

I will give you an example.

Nobody knows the precise value of the mathematical constant pi (the ratio of a circle's circumference to it's diameter) it is approximated as 3.14159, but this ratio in principle never ends.The actual pi goes on and on. But does that mean we cannot use pi to build bridges and stadia? Of course we can and have. We just adopt the right amount of precision we need and ignore the remaining decimal places which will be of no consequence for our practical purposes. We choose a framework of reality we are focused on (a bridge or stadium that will stand for 200 years for example) and the right precision we need to make this happen ( five decimal places) and that serves our purpose. We can investigate the value of pi to the billionth decimal place for the sake of mathematical curiosity, or to design better machines that give random numbers (the decimals in pi are random) etc. But for building bridges the 5 decimal places as stated, are sufficient.

So even though we are slaves of illusions (e.g, all matter is 99.9 empty space due to the nature of the atom, yet we have the illusion of things being solid), we do not and do not have to keep this in consideration when we go to the grocery store to buy produce.Why? Because this fact is only valid at the quantum level, at the large scale most people do not know that only 0.01 percent of the atoms that makes them up is not empty space.

So we have to keep things in perspective.

Exactly!

So everything is not as we perceive them to be. But majority have been programed to view the world as their parents and ancestors believed.

Humans have to reach the point that we will accept the fact that there is a level we don't know. And to be open with that and to be patient enough to let science figure it out than to force ourselves to believe.

Another issue is that, religions should change. They have to accept to change their understanding about the nature of the universe and reality. In the past, religion and science were the in same institution. Helping mankind to understand the world and the universe. But science broke up with myths and dogmas and forcing-beliefs.
 
IMG_1473436005.298879.jpg
 
Unajuaje kwamba atakuhoji "kwa nini" ?

Ni lazima kila anayeambiwa kitu kuhoji kwa nini?

Mbona wewe hujahoji kwa nini Mungu kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Mbona mimi nimekupa jina langu Kiranga na hujahoji kwa nini Kiranga na si Kipanga?
Umeshaanza kuhoji visivyo msingi kukwepa hoja ya msingi. ASIPOHOJI SWALI KWANINI, BASI HICHO ALICHONACHO HANA USHAHIDI NACHO HIVYO ASIKISEME MBELE YA WATU. atakuwa ametuletea IMANI yake tu zao la hulka zake. Hatutahangaika nae.

Huna nafasi ya kunisemea mimi ndugu, hicho unachodai sijahoji ni vile unavyoamini.
 
Exactly!

So everything is not as we perceive them to be. But majority have been programed to view the world as their parents and ancestors believed.

Humans have to reach the point that we will accept the fact that there is a level we don't know. And to be open with that and to be patient enough to let science figure it out than to force ourselves to believe.

Another issue is that, religions should change. They have to accept to change their understanding about the nature of the universe and reality. In the past, religion and science were the in same institution. Helping mankind to understand the world and the universe. But science broke up with myths and dogmas and forcing-beliefs.
You are a gentleman and a scholar!
 
Umeshaanza kuhoji visivyo msingi kukwepa hoja ya msingi. ASIPOHOJI SWALI KWANINI, BASI HICHO ALICHONACHO HANA USHAHIDI NACHO HIVYO ASIKISEME MBELE YA WATU. atakuwa ametuletea IMANI yake tu zao la hulka zake. Hatutahangaika nae.

Huna nafasi ya kunisemea mimi ndugu, hicho unachodai sijahoji ni vile unavyoamini.

Umeongelea umuhimu wa ushahidi.

Wewe unayesema Mungu yupo una ushahidi kwamba Mungu yupo?

Unaweza kunipa hapa ushahidi usiopingika kwamba Mungu yupo?
 
Hayo ni matokeo ya watu waliotaka kumjua Mungu huku wakitanguliza swali MUNGU NI NINA badala ya kuhoji MUNGU NI NINI? Ukishajua Mungu ni nini, utakuwa na msingi mzuri wa kujua ni nini maana za hizo FOUR OMNIS za Mungu. Anaita sasa.
Mungu ni nini?

Nimekuuliza, hujajibu.
 
Umeongelea umuhimu wa ushahidi.

Wewe unayesema Mungu yupo una ushahidi kwamba Mungu yupo?

Unaweza kunipa hapa ushahidi usiopingika kwamba Mungu yupo?
Hoja yako ya square root imekufa hapo, uliileta kukwepa hoja ya msingi. Rudi nyuma sasa na ujibu swali, JE UNATAMBUA UWEPO WA ASILI AMBAYO NI NGUVU NA SHERIA ZILIZOFANYA ULIMWENGU?
 
Hoja ya square root imekufa vipi?

Hojailikuwa kwamba, huhitaji kujua jibu halisi ili kujua kwamba jibu Fulani ni batili.

Nikatoa mfano mtu hajui square root ni nini, hajui square root ya mbili ni nini, lakini kaambiwa na mwalimu wake square root ni lazima iwe ndogo kuliko hiyo namba inayotafutiwa square root.

Huyu mtu si mdadisi, anasikia anachoambiwa na kukikubali tu, anaheshimu authority ya mwalimu wake.

Kwa hiyo hajui square root ni nini, hajui square root ya mbili ni nini. Lakini anajua kwamba square root ya namba yoyote ni lazima iwe ndogo kuliko namba yenyewe.

Ukimwambia mtu huyu square root ya 2 ni 5 atakwambia haiwezi kuwa hivyo, kwa sababu square root ya 2 haiwezi kuwa kubwa kuliko 2.

Bila hata kujua square root ni nini na square root ya mbili ni nini.

Hahitaji kujua jibu sahihi ili kujua kwamba jibu fulani ni batili.

Kwa nini unasema hoja yangu ya kwamba unaweza kujua jibu fulani ni batili hata kama hujui jibu sahihi imekufa?
 
Back
Top Bottom