cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unashabikia wale upinde pale Tek avivKwa hiyo uki support Hamas ni Muislamu? Ukitofauti na Hamasi ni Mkatoliki....Iko Kazi.
Vita ipo milele 😅😅😅wale wacongo ni wakristo wenzio wanapigana kutwa kule sudani kusini ni wakristo wenzio..
Aliyeta Udini ni wewe! Aliyeleta matusi ni wewe! Aliyeleta mambo ya Upinde ni wewe! Alyeleta Mambo ya Congo ni Wewe!Vita ipo milele 😅😅😅wale wacongo ni wakristo wenzio wanapigana kutwa kule sudani kusini ni wakristo wenzio..
Hapa tunaangalia uonevu sio udini kati ya hao wapalestina kuna wagalatia wenzio.😅😅
Vita ipo milele 😅😅😅wale wacongo ni wakristo wenzio wanapigana kutwa kule sudani kusini ni wakristo wenzio..
Hapa tunaangalia uonevu sio udini kati ya hao wapalestina kuna wagalatia wenzio.😅😅
Houthi kikundi teuleSiku ya mwanzo Marekani na Uiengereza walipoanza kushambulia Houth kule Yemen maeneo karibu 85 ya Houth tuliambiwa yamepigwa na picha za moshi ukifuka tukarushiwa.
Kuna watu walijua Houth imeisha lakini siku iliyofuata Yahya Sarea akatoa tangazo kulenga meli nyengine na watu hawakuamini.
Baada ya hapo Marekani kipekee na wakati mwengine Uiengereza anajiunga wameshambulia mara nyingi sana.Rada zote za Houth tuliambiwa zimevunjwa vunjwa.Zaidi ya hivyo droni na makombora ya Houth tukaambiwaa sasa yanawindwa na kuwahiwa kuangamizwa kabla hata hayajarushwa hewani.
Meli na majahazi yanayopeleka silaha kwa Houth kutoka Iran mara kadhaa zimeshikwa na meli hizo kuzamishwa na shehena zake japo mara moja askari wawili wa US walisukumwa majini.
Yote hayo yaliyotokea kumbe si chochote.Houth kila siku wanarusha makombora kwa meli zenye mafungamano na Israel,Marekani na Uiengereza.Matangazo ya Houth hayabaki kuwa ni kampeni na propaganda tu bali yamekuwa yakithibitishwa na mataifa hayo bila kutaja hasara wanazozipata.
Hapo juzi na jana mfululizo meli za Uiengereza za mizigo ya nafaka na mafuta zimerushiwa makombora na kukoswa koswa.Hali hiyo haiyapi mashirika ya meli furaha na uhuru wa kutumia bahari ya red sea.
Mashirika makubwa ya usafirishaji mizigo baharini kama Maersk wamesalimu amri na kusema hawawezi kubahatisha kupita maeneo hayo ya Houth kwa kuamini ulinzi wa Marekani na Uiengereza ambao meli zao zenyewe zikiwemo za kivita haziko salama.
Defiant Houthis claim fresh Red Sea attacks on US, UK ships
Sijui kama amekuelewaMkuu Alwaz: Ni aina gani ya vita unapigana......Hilo lazima uliangalie......Kuna aina nyingi ya Vita Mkuu!.
Allahu akbar atawasaidia ukizingatia kuna maisha fantasy huko peponi maalumu kwa waislamu tuuuuView attachment 2906675
Ubavu wa kurusha Maroketi....angalia wananchi wake...80% wanaishi kwa msaada.....Akili za Mwarabu ngumu mno kuzielewa....Sijui ni lipi linalowasukuma.
Atakuelewa?Hao Wagalatia unaowasema ndio wameisimamisha UNRWA miaka na miaka......
NEW YORK,
The United States announced today a contribution of US$ 153.7 million to the United Nations Relief and Works Agency for Palestine Refugees in the Near East (UNRWA) in support of humanitarian assistance, human development and protection of Palestine Refugees.
“We are very grateful for the United States’ long-standing financial and political support and partnership,” said UNRWA Commissioner-General Philippe Lazzarini. “This contribution will help us keep over 700 schools and 140 health centres open over the next months. By providing UNRWA flexibility in how it utilizes U.S. funding, the U.S. also gives the Agency the means to prioritize spending where it is most needed, helping us address the Agency’s ongoing financial challenges. To us, this is a sign of trust and a trait of good donorship that we encourage other partners to follow.”
Source : UNRWA :
THE UNITED STATES CONTRIBUTES US$ 153.7 MILLION TO UNRWA IN SUPPORT OF PALESTINE REFUGEES
Gaza will never be the same againVita sio kumaliza polulation Mkuu, is just to inflict damages kila sehemu ...Si unaona Gaza......
View attachment 2906965
Unabisha wwe sio mpakwa mafuta kulikuwa na haja gani ya ku'reply kitu hujui.Aliyeta Udini ni wewe! Aliyeleta matusi ni wewe! Aliyeleta mambo ya Upinde ni wewe! Alyeleta Mambo ya Congo ni Wewe!
In short huna hoja, umejaribu intimidation, kuniona dogo! Umejifanya msomi! Sana umefunua upumbavu wako!
Umeshindwa kabisa kutetea Hoja ya Upinde! South Africa Mtetezi wa Hamas, kushinda hata Waaarabu ni Mwana upinde Mkubwa Africa! Hao Waandamanaji wa Ulaya na Marekani wengi ni WOKE idelogists! Wanaupinde Wakubwa! Umebakia kuniita Mkatoliki! Bila facts! Utafikiri Wakatoliki wote wanatetea Israel!
In short jifunze kujenga hoja zako! Be Consistency, be logical, always come with the facts, na tetea facts zako! Nimekuleza kuwa nawafahamu Waislamu totaly against Hamas! Utasemaje! Nawafahamu Wakristo, 100% Pro Hamas! Utasemaji! Umeona kabisa kuna Wana Upinde ni Pro Hamas! Utasemaje?
Nakuona ni mtoto wa darasa la saba! Hujui Historia or even the art of argument and persuasion......Haya leta hoja zako!
Unabisha wwe sio mpakwa mafuta kulikuwa na haja gani ya ku'reply kitu hujui.
Ufiadini tuView attachment 2906675
Ubavu wa kurusha Maroketi....angalia wananchi wake...80% wanaishi kwa msaada.....Akili za Mwarabu ngumu mno kuzielewa....Sijui ni lipi linalowasukuma.
Obviously but will change for the better and for Palestinians course.
Uchonganishi kama huo wala haufanyi kazi na si kweliIs not obvious Alwqz, kama wakiendelea kuwa na viongozi walafi na wafujaji kama walioko leo, Gaza itabakia hapo hapo.....Hivi hujui huu ugomvi ni mradi?
Hamas leaders worth staggering $11B revel in luxury — while Gaza’s people suffer
While their people languish in poverty and are treated as human shields, the leaders of Hamas live billionaire lifestyles.
The terror group’s three top leaders alone are worth a staggering total of $11 billion and enjoy a life of luxury in the sanctuary of the emirate of Qatar.
The emirate has long welcomed the leaders of the terror group and installed them in its luxury hotels and villas at the same time as it hosts a vast American military presence.
Now US Rep. Andy Ogles (R-Tenn.) is sponsoring a bill that would strip Qatar of its status as a key US ally, The Post has learned, unless it kicks out the Hamas leadership.
The terrorist group, which is responsible for the antisemitic Oct. 7 massacre of more than 1,400 innocent civilians and soldiers in southern Israel, continues to hold over 200 hostages in Gaza.
Hamas runs an office in Qatar’s c
They have been seen at its diplomatic club, photographed on private jets, and traveled widely.
The leadership would have been there for the 2022 soccer World Cup.
In contrast, most of the population of more than 2 million in the Gaza Strip, which Hamas has ruled since 2007, live in abject poverty.
Haniyeh, 61, the head of Hamas’ politburo, was prime minister of all Palestinian territory following elections in 2006, although he was booted from office a year later.
View attachment 2907616
One of the sons of Hamas leader Ismail Haniyeh lounges in a luxury hotel suite in Qatar. Haniyeh is worth more than $4 billion.
View attachment 2907617
Hamas leaders live the high life while many of the more than 2 million residents of Gaza City live in abject poverty.EPA
Is not obvious Alwqz, kama wakiendelea kuwa na viongozi walafi na wafujaji kama walioko leo, Gaza itabakia hapo hapo.....Hivi hujui huu ugomvi ni mradi?

Uchonganishi kama huo wala haufanyi kazi na si kweli
Wangekuwa wanaweka mbele matumbo yao kama CCM na CHADEMA wala wasingeweza kujenga viwanda na mji mwengine chini ya GAZA.ule mji umetumia pesa nyingi sana pengine bajeni ya Tanzania ya miaka kadhaa.