Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Umeelewa ulivyocomment mwanzo!?Kwa nini unataka nianzie Congo? Umeshindwa hoja unaanza kusema Ushabiki wa Maandazi.....Ndio msomi wewe? Labda ulikaa madarasani tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa ulivyocomment mwanzo!?Kwa nini unataka nianzie Congo? Umeshindwa hoja unaanza kusema Ushabiki wa Maandazi.....Ndio msomi wewe? Labda ulikaa madarasani tu!
Nan kaanza ku'reply kwa mwenzie?
Kila siku unasema kumekucha....lini kutapambazuka....?
Umeelewa ulivyocomment mwanzo!?
Umeelewa kwanza?Anyway uliandika ukajibiwa...Nimevunja rules za Jamii Forum....Uliandikia watu sio hewa.....
Ndio kwanza kumekucha wanaume kazini
View: https://twitter.com/GlobeEyeNews/status/1758591316932321483?s=19
Umeelewa kwanza?Ulitaka tusikujibu....?
Umeelewa kwanza?
Ulishaanza sijui mitazamo tofauti ,mimi na wewe ni tofauti kwa maoni yako, sasa kwa nn unaniletea shobo?Nakuuliza nimevunja rules za Jamii Forum kujibu hoja zako? Ulipost usipate comments? Ndio akili unayodai kuwa nayo! Inashangaza sana!
Nilichoelewa ni kwamba hutaki kuwa contradicted....Your ideas are final.....Labda umekutana na wengine...lakini sio mimi....Umeelewa kwanza?
Ulishaanza sijui mitazamo tofauti ,mimi na wewe ni tofauti kwa maoni yako, sasa kwa nn unaniletea shobo?
Ulishaanza sijui mitazamo tofauti ,mimi na wewe ni tofauti kwa maoni yako, sasa kwa nn unaniletea shobo?
Acha shobo dogo hujielewi .Nani anamletea shobo mwenzie....you are just myopic.....hutaki kuwa contradicted....Oh nenda Congo....Oh mimi mjinga....Oh Hujaona Posts zangu....! Wewe ni nani hasa....?
Sibishani na upinde kaa pembeni dogo.!Mara kelele....Sijui unaleta ushabiki wa Maandazi......! Uje na hoja Mkuu....Sio Kejeli......leta facts....objective arguments....sio matusi......Hivi Hoja zako zimebadili jamii FORUM....Unataka tufikiei kama wewe....Kweli iko shida! Tena kubwa...!
Sibishani na upinde kaa pembeni dogo.!
Sibishani na upinde kaa pembeni dogo.!
Sheria za dini yako😅Bila kunifahamu unaanza upinde.......Kweli iko kazi....Kama una hadhi basi ni ya jalalani.......Inasikitisha sana, Naona hujawi kuwa contradicted au kupata opposite arguments....Pole sana! ....Jamii Forum imejaza wajinga mno sasa hivi.....Njoo na hoja....Umeshindwa kinijibu unaanzisha kitu kingine kabisa......Inasikitisha!
Sioni hoja zako zaidi kusapot wale upinde wa Tel aviv tu...Kijana usilete ushabiki wa kijinga maana sioni hoja zako zaidi ya kushabikia upinde.Matusi si jadi yangu......sana sana yame reveal contents ndani ya kichwa chako! Your mind is polluted! Kila anayekuja na opposite views, arguments, or contradict your narrative ni Upinde......Nashangaa sana unaposema sijasoma Posts zako, kwa hili ulioandika sina haja kabisa ya kuingia jalalani kurushiana matope! In short siwezi kabisa hata kuzitafuta posts zako!
Sioni hoja zako zaidi kusapot wale upinde wa Tel aviv tu...Kijana usilete ushabiki wa kijinga maana sioni hoja zako zaidi ya kushabikia upinde.
Kwa hiyo Ushabiki wa akili ni kushabikia Hamas na Houthi? Una maana hiyo! Pole sana ! Anyway ndio akili zenyewe hizo!Sioni hoja zako zaidi kusapot wale upinde wa Tel aviv tu...Kijana usilete ushabiki wa kijinga maana sioni hoja zako zaidi ya kushabikia upinde.
Mim na wewe nan mjing ? Angalia unapoingilia wengine sio level zako ,hoja hauna unaruka ruka tu ebu tulia jibu wka logic .😅😅Unajiumbua na kuonyesha ujinga wako....Kila anayeshabia Israel ni upinde? Ndio Ufahamu wako unavyokutuma? Iko kazo kweli kweli!