GE2025 Nguvu wanayotumia CCM kukusanya watu kwenye mikutano ni kubwa mno na inawatesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana.

Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi wasitoroke na uwaandalle usafiri kwenda na kurudi hatari sana.

Sasa hivi viongozi wa mtaa wanapita nyumba hadi nyumba kuan̈dikisha upya watu na namba zao za simu yaani ni tabu tupu. Wanatembea hao kama vichaaa 😆 🤣 😄 .

Na Samia akishapita sehemu hawezirudi maana kuwapata watu kama hao ni mtihani kiufupi akipita sehemu kamaliza kabisa kwa Nchimbi hatupewi coverage kubwa maana watu ni wachache sana
 
Hakuna shida yoyote kwa CCM kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao.
Tulichokosa ni kuwa na mfumo ambao utafanya uchaguzi uwe huru na haki ili hata siku chadema akishika dola nao waheshimu mfumo uliopo kwasababu chadema nao ni watanzania na ni waafrika.
 
Na huko wanajaza vitoto under 18 kwa wingi kwelikweli.

Kuna tawi lao nimekuta vitoto na watu wa vigoma wanasubiri gari ije kuwasomba.

Vijana mtaani hawana muda kabisa na hizo mambo za uchaguzi, ni kama hamna kinachoendelea.
 
Shida yote hiyo waonekane tu wamejaza halaiki, huku mpinzani wa kweli na chama chake wakifanyiwa zengwe la kutoshiriki huo uchaguzi!
Binafsi sioni haja ya huo uchafuzi. Kwanini Ccm wasianze kugawana tu majimbo kuwa Jimbo hili flani na diwani ni flani. Mchezo kwisha. Kuliko kufanya kampeni zisizo na umuhimu wakati wako wenyewe
 
GT
Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana.

Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi wasitoroke na uwaandalle usafiri kwenda na kurudi hatari sana.

Sasa hivi viongozi wa mtaa wanapita nyumba hadi nyumba kuan̈dikisha upya watu na namba zao za simu yaani ni tabu tupu. Wanatembea hao kama vichaaa 😆 🤣 😄 .

Na Samia akishapita sehemu hawezirudi maana kuwapata watu kama hao ni mtihani kiufupi akipita sehemu kamaliza kabisa kwa Nchimbi hatupewi coverage kubwa maana watu ni wachache sana
Nimeota ndoto ikiwa CHADEMA wataingia kwenye uchaguzi ccm itashinda kwa asilimia 3.. True story
 
GT
Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana.

Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi wasitoroke na uwaandalle usafiri kwenda na kurudi hatari sana.

Sasa hivi viongozi wa mtaa wanapita nyumba hadi nyumba kuan̈dikisha upya watu na namba zao za simu yaani ni tabu tupu. Wanatembea hao kama vichaaa 😆 🤣 😄 .

Na Samia akishapita sehemu hawezirudi maana kuwapata watu kama hao ni mtihani kiufupi akipita sehemu kamaliza kabisa kwa Nchimbi hatupewi coverage kubwa maana watu ni wachache sana
 
Attachments

  • VID-20250913-WA0013.mp4
    7.4 MB
Wanapeleka vitoto vidogo nimeona vinavalishwa ticket zinafika kwenye magoti
 
Na huko wanajaza vitoto under 18 kwa wingi kwelikweli.

Kuna tawi lao nimekuta vitoto na watu wa vigoma wanasubiri gari ije kuwasomba.

Vijana mtaani hawana muda kabisa na hizo mambo za uchaguzi, ni kama hamna kinachoendelea.
Watu wa kwanza kulazimishwa kwenda mikutanoni ni wanafunzii na wafanyakazi wa serikali.

Mtu aliye busy na biashara yake, huwezi kumwambia aende mkutano wa mpuuzi mmoja.
 
GT
Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana.

Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi wasitoroke na uwaandalle usafiri kwenda na kurudi hatari sana.

Sasa hivi viongozi wa mtaa wanapita nyumba hadi nyumba kuan̈dikisha upya watu na namba zao za simu yaani ni tabu tupu. Wanatembea hao kama vichaaa 😆 🤣 😄 .

Na Samia akishapita sehemu hawezirudi maana kuwapata watu kama hao ni mtihani kiufupi akipita sehemu kamaliza kabisa kwa Nchimbi hatupewi coverage kubwa maana watu ni wachache sana
Subiri baada ya uchaguzi, wakishika tena nchi ndipo utajua nani atateseka CCM au wewe hapo keyboard warrior.
 
Back
Top Bottom