GE2025 Nguvu wanayotumia CCM kukusanya watu kwenye mikutano ni kubwa mno na inawatesa

GE2025 Nguvu wanayotumia CCM kukusanya watu kwenye mikutano ni kubwa mno na inawatesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukweli ni kwamba akili yako imeathirika kwa hizi kazi za kuwafanyia maovu waTanzania mnazotumwa kuzitekeleza kuwanufaisha Samia na Genge lake.
Huwa sijibu kwa "kukurupuka".
huoni kama umekurupuka swali linauliza vingine unajibu kingiine
 
Kwenye majukwaa wanatamani wawaseme Chadema maana hawawezi wakawabeza UMD au ACT au TLP.
Hahaha.. hilo nililiwaza sana kabla ya kampeni, kwamba watakuwa wanarusha madongo kwa nani kama Chadema hawashiriki uchaguzi!?
 
huoni kama umekurupuka swali linauliza vingine unajibu kingiine
Wewe siyo mtu wa kujuwa hayo, kwa sababu akili yako imeharibika tayari kutokana na maovu unayowafanyia waTanzania.
Ni kipi hapa usicho kielewa?
 
Back
Top Bottom